MONA WA KYEN
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 340
- 271
UNAO UELEWA WOWOTE KUHUSU CHUMA ULETE NA PESA ZA BANK MKUU?Sio bank tu, Mimi mwenyewe siibiwi kiboya boya hvyo.
Chuma Ulete, What rubbish is that ??
HAHA DUHHHHNilipata kusikia kua chuma ulete anachukua pesa isiyo hesabiwa sasa bank zinahesabiwa kiingiacho na kitokacho hata wewe ukiwa unafanya biashara kwa hesabu hakuna chuma ulete.
Kabisa Mkuu.Nilipata kusikia kua chuma ulete anachukua pesa isiyo hesabiwa sasa bank zinahesabiwa kiingiacho na kitokacho hata wewe ukiwa unafanya biashara kwa hesabu hakuna chuma ulete.
Uelewa wa Pesa za Bank as in Finance Management ?? (Well YES)UNAO UELEWA WOWOTE KUHUSU CHUMA ULETE NA PESA ZA BANK MKUU?
SAWAUelewa wa Pesa za Bank as in Finance Management ?? (Well YES)
Hzo imani potofu za hela za mazingaombwe sijui nn. Well Big NO !!
Ingekuwa hvyo magicians wangekua wanakimbizana na Bill Gates kwa mafuba.
HAHAH UNAMAANISHA CHUMA ULETE HAKUNA KABISA? KUNA TEKNLOGIA NYINGINE YA KUSAINI KWA KALAMU?Bank hakuna usanii... Watu wanaiba kweli na siyo kwa kutania...
HAHAHA KIVIPI?labda bank ndio chuma ulete yenyewe
KWELI SO HICHO KITU HUWA HAKUNA?chuma ulete hata mimi haniibiiii..
kwanza advertise sehem nayoweka hela hakaribiii mtu hata mama yangu haijui
Tatzo benk hawarudishi chenjiwangekuwa wanatoa chenji haaa we ungesikia2Naamini mnaendelea vema na shughuli za kila siku poleni kwa majukumu maana changamoto zimekuwa nyingi.
Kuna swali ambalo huwa najiuliza kila siku kutokana na yale unayokuta wakati mwingine yakiongelewa mtaani. Kuna watu huwa wanalalamika kuibiwa pesa kwa njia za miujiza "chuma ulete" na nimekuwa ninazisikia ni muda sasa, lakini ninakuwa ninajiuliza kama huu wizi wa technologia kama hii upo?
je kwa nini hawa wataalamu wasiende kuiba benki kwa namna hii? ninakosa majibu ndo maana nikaamua kuuweka hapa wenye uelewa na hili wanisaidie benki huwa wanalindaje pesa yao dhidi ya chuma ulete? au hiki kitu hakipo?
ahsanteni.
HAWARUDISHI?Tatzo benk hawarudishi chenjiwangekuwa wanatoa chenji haaa we ungesikia2
Kwa jinsi ulivyoandika unaonekana tu maskini, zama hizi kuna kuficha hela uvunguni? Eti hata mamako haoni duh.chuma ulete hata mimi haniibiiii..
kwanza advertise sehem nayoweka hela hakaribiii mtu hata mama yangu haijui