Ulinzi Uimarishwe Kisutu

Ninaamini jeshi la polisi litafanya vizuri kazi waliyosomea kule CCP hapo kesho. Polisi wakumbuke virungu walivyopewa sio vya mapambo.
 
Ukiwa mjinga lazima uwe na roho mbaya.
 
Muulize Kaka Yako Lema ananijua by Details

Sina shida ya Pesa, sina umasikini wowote na nipo mbioni kufungua kiwanda kikubwa cha kuzalisha Condoms hapa Nchini

Dogo uwe na adabu

Don Massawe.
Hakujawahi kuzaliwa Mchagga mpuuzi hata siku moja. Huwezi kuwa mchagga wewe kwanza huwezi kuwa Mtanzania labda ni mtutsi
 
Tutakuja kama wote,awamu hii mjiandae kutifunga mawe makubwa na kututosa baharini vitisho vya bagamoyo na mabwepande vimeonyesha kutozaa matunda.Dhidi ya sauti za haki.Wapenda amani isiyo na haki kazi kwenu.
 
Tutakuja kama wote,awamu hii mjiandae kutifunga mawe makubwa na kututosa baharini vitisho vya bagamoyo na mabwepande vimeonyesha kutozaa matunda.Dhidi ya sauti za haki.Wapenda amani isiyo na haki kazi kwenu.
Jichanganyeni.

Tumia jina lako halisi hapa basi kama wewe ni mjanja.


Majina feki mnajificha kama panya buku
 
Wewe ni massawe wa wapi? Wewe ni mchaga wa ovyo sijawahi kuona.
 
Jichanganyeni.

Tumia jina lako halisi hapa basi kama wewe ni mjanja.


Majina feki mnajificha kama panya buku
Hapa ni bora uwatose baharini usiowajua majina kwani laana ya kuwatosa unaowafahamu ingekupa unyonge na ukufe kwa hofu,hivyo ni bora uendele na uovu ukiwa gizani.
 
Wewe ni massawe wa wapi? Wewe ni mchaga wa ovyo sijawahi kuona.
Endeleeni kujidanganya kila mchaga ni mpumbavu kama wewe

Sisi Tumeamua kusimamia Amani nyie endeleni na Haki

Mtapigwa mchakae
 
Contena za virungu vya kisasa limeingia juzi tunaamini Polisi watasimamia amani vizuri.
Mpaka lini? Hii dunia hii, Sakai hivi virungu vikawa ni vya wananchi kupigia wezi wa kura wanaolazimisha kutawala bila ridhaa ya wananchi.
 
Wewe jamaa ni Mjinga, lakini kuna kila dalili kwamba pia ni Masikini wa akili na Hela, Nakuombea uendelee kutumikishwa kama mashine hadi utakapokufa
Na wewe kazi yako ni kuandika tu kwenye mitandao kuwajaza wajinga upepo lakini hata siku moja huingii fronti
 
Wakukamate usadie polisi maana unazo habari nyingi za uhaini.
 
Naona unachangia kwq huruma sana, kutetea ujinga siyo kazi ndogo aisee 🤣🤣🤣
Piga sana hao kenge bila kutoka damu zamu za pua hawajahisi kama wameumia...unapenda kuona post yangu ya aina hii😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…