Ulinzi Uimarishwe Kisutu

Hizi propaganda si nzuri, mnaandika vitu visivyo na uhalisia kugawa watanzania kwa nini? Kwani mahakamani mbona watu uenda kusikiliza kesi za ndugu zao, je kuna kosa gani watu wasiende kusikiliza kesi ya lissu. Acheni waende na hatafanya lolote zaidi ya kusikiliza na kuondoka.
 
Wewe jamaa ni Mjinga, lakini kuna kila dalili kwamba pia ni Masikini wa akili na Hela, Nakuombea uendelee kutumikishwa kama mashine hadi utakapokufa
Muulize Kaka Yako Lema ananijua by Details

Sina shida ya Pesa, sina umasikini wowote na nipo mbioni kufungua kiwanda kikubwa cha kuzalisha Condoms hapa Nchini

Dogo uwe na adabu

Don Massawe.
 
Kesho mapeeeeeema una 20 yako pale ofisi za chama...

Hahahaha nakushauri tafta kazi ya maana ujiepushe na hizi dharau mdogo ndogo
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†,kwamba CDM ni kama wasouth kwa Simba ,uzuri mapolisi kumejaa kina zimbwe,mpanzu na rastaman,hivo msouth wa bongo hatofurukuta
 
Ndugu,sio kila ajae msibani au katika sherehe yoyote anania njema kwako,kuwa makini kwa hilo ndio maana baadhi hufunga ndoa zisizo na mbwembwe wakiwa 3 au 4,ndivo Simba walivojipanga kwa msouth wa kisutu Tanzania hapo kesho,mwenye mtoto ananyonyesha kama Hilda Newtown na majukum mengine binafsi chukua tahadhari,amani haipaswi kuchezewa wala kufanyiwa majaribio hata dkk 1/8 ukitaka haki jua wajibu wako,pia amani ikitoweka jua CCM ndio itaulizwa sio CDM

Mwenye mwana ampakate mwanae

People's lives can't be tested.
 

Wenye nia ovu ni MaCCM yanaodai yatatuchinja na kututupa mtoni. Maza kishaanza kuikamilisha hiyo kazi.
 
Nilikuwa najiuliza wazungu waliweza vipi kuwakamata watumwa?. Kumbe wapo kenge kama mleta uzi anatumiaka kwa kukandamiza wananchi wenziwe kwa maslahi ya utawala.
Lengo lenu la kuchoma mahakama tumelizima mapema

Dawa ni ile ile kipigo tu
 

Hakuna Amani kuna kulazimisha watu kutii. Usitudanganye. CCM mnatudanganya sana na Amani uchwara. Haki iwepo ndo amani iliyo na haki itakuwepo. Kwa hiyo ccm ndo inajua kuleta amani tu. Nyie watu siyo kabisa. Amani ya virungu si amani ni udikteta.
 
Hao unaowashauri sio mda watakua icc dawa yao inachemkwa, unafili la juzi litapita bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…