Hiyo Tecno C5 unatumia kupitia WiFi direct ama ina screen cast?Mie natumia Techno C5 nikiunga mirror kwenye Samsung Tv inaconnect moja kwa moja bila.kuomba code yoyote....ila baadhi ya smart tv kama Sony nimeona wanacomplications nyingi na zinabagau saana simu na pia video file flan flan zenye format ambayo bado sijaijua...but for Sumsung...Inatwanga kote kote
hizi technology za wifi zipo nyingi sana, kuna widi, miracast, DLNA, Airplay etcNatumia Smart TV ambapo humo ndani kama nikitaka kufanya mirroring kuna teknolojia ya Intel®wireless display, ambapo unaweza kuunganisha devices nyingine kama Laptop, tablet, na smartphone: Kwa mujibu wa huduma hiyo unaweza kufanya mirroring kutoka kwa vifaa vyenye Intel widi kama laptop ama kwa smartphone zenye huduma ya WiFi direct pia ni rafiki kwa huduma hiyo! Sasa shida yangu ni kwamba nimejaribu Mara kadhaa kuunganisha smartphone yangu kupitia WiFi direct lakini naishia pale ambapo screen ya TV inaponiandia "enter the following security code" harafu chini ya maelekezo hayo kuna kijimstatili ndani yake kuna maneno yanasomeka "PUSH-BUT" . Sasa shida ni kwamba hainipi code ili niweze kujaza kwa smartphone yangu niweze kuwa connected kwa huduma, kila kitu kinaenda sawa tatizo ni jinsi ya kupata hizo security code! Kama kuna MTU ana ujuzi zaidi kwa masuala haya naomba msaada!
Option zote mbili zinafanya kazi vizuri kabisaHiyo Tecno C5 unatumia kupitia WiFi direct ama ina screen cast?
TV ni TCL sijajua inatumia os gani na wala sio TCL Roku tvhizi technology za wifi zipo nyingi sana, kuna widi, miracast, DLNA, Airplay etc
kwa ufahamu wangu mara nyingi inayodai password ni DLNA na hii ili ikubali inabidi simu na TV viwe kwenye same network.
hio tv inatumia os gani? tuanze hapa.
sio opera?TV ni TCL sijajua inatumia os gani na wala sio TCL Roku tv
yah na mimi nimeona.Sasa nimejua kuwa ni Linux os mkuu! Hebu nisaidieni!
Umecheki kwenye user manual.Natumia Smart TV ambapo humo ndani kama nikitaka kufanya mirroring kuna teknolojia ya Intel®wireless display, ambapo unaweza kuunganisha devices nyingine kama Laptop, tablet, na smartphone: Kwa mujibu wa huduma hiyo unaweza kufanya mirroring kutoka kwa vifaa vyenye Intel widi kama laptop ama kwa smartphone zenye huduma ya WiFi direct pia ni rafiki kwa huduma hiyo! Sasa shida yangu ni kwamba nimejaribu Mara kadhaa kuunganisha smartphone yangu kupitia WiFi direct lakini naishia pale ambapo screen ya TV inaponiandia "enter the following security code" harafu chini ya maelekezo hayo kuna kijimstatili ndani yake kuna maneno yanasomeka "PUSH-BUT" . Sasa shida ni kwamba hainipi code ili niweze kujaza kwa smartphone yangu niweze kuwa connected kwa huduma, kila kitu kinaenda sawa tatizo ni jinsi ya kupata hizo security code! Kama kuna MTU ana ujuzi zaidi kwa masuala haya naomba msaada!
yah na mimi nimeona.
ila sio big issue maana technology ni hizo hizo.
kama ni DLNA inabidi simu na tv viwe kwenye same network, kama tv inatoa password nenda kwenye simu yako kisha angalia kama kuna wifi network toka kwenye hio tv utaconect kisha utaeka hizo password.
kwa DLNA zipo apps nyingi search tu neno DLNA kisha chagua utakayoipenda.
Kwa widi ama miracast utaenda tv iwe on kwenye technology husika, kisha kwenye simu vile vile utaenda kwenye cast na kueka on na kuiangalia kama tv itaonekana. kama huna option ya cast download hii app
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mattgmg.miracastwidget
TV yenyewe inaniambia niingize code lakini code zenyewe haionyeshi na mfumo ninaotumia ni WiFi direct to Widi. Simu inaiona TV ila inataka niweke password tena za mfumo wa WPA/WPA2.yah na mimi nimeona.
ila sio big issue maana technology ni hizo hizo.
kama ni DLNA inabidi simu na tv viwe kwenye same network, kama tv inatoa password nenda kwenye simu yako kisha angalia kama kuna wifi network toka kwenye hio tv utaconect kisha utaeka hizo password.
kwa DLNA zipo apps nyingi search tu neno DLNA kisha chagua utakayoipenda.
Kwa widi ama miracast utaenda tv iwe on kwenye technology husika, kisha kwenye simu vile vile utaenda kwenye cast na kueka on na kuiangalia kama tv itaonekana. kama huna option ya cast download hii app
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mattgmg.miracastwidget
then itafute hio password, kutakuwa na default password mahala fulaniTV yenyewe inaniambia niingize code lakini code zenyewe haionyeshi na mfumo ninaotumia ni WiFi direct to Widi. Simu inaiona TV ila inataka niweke password tena za mfumo wa WPA/WPA2.
Asante mkuu, yaani unamaanisha hata nikiwa na simu ya pili nikaifanya hotspot inaweza kuwa poa.then itafute hio password, kutakuwa na default password mahala fulani
au alternative jaribu kutumia wifi yako mwenyewe.
tafuta simu ya pili au modem ya wifi ama pc ama router au kifaa chochote kinachoweza kutengeneza wifi, sio lazima kiwe na internet wifi peke yake inatosha,
tengeneza wifi halafu connect simu na tv kwenye hio wifi then zote zikiwa kwenye same network anza kutest upya hizo widi na DLNA kama ipo
ndio inawezekana.Asante mkuu, yaani unamaanisha hata nikiwa na simu ya pili nikaifanya hotspot inaweza kuwa poa.
Chief,ninatatizo kama la huyu ndugu,ninatumia TECNO L8 na nina TV aina ya TCL smart,nimeangaika mno nimeshindwa.Tafadhali mkuu nisaidie nielekeze kwa hatua mkuu.hizi technology za wifi zipo nyingi sana, kuna widi, miracast, DLNA, Airplay etc
kwa ufahamu wangu mara nyingi inayodai password ni DLNA na hii ili ikubali inabidi simu na TV viwe kwenye same network.
hio tv inatumia os gani? tuanze hapa.
Mkuu ninawezaje kuifanya Tv na simu kuwa katika same Network?hizi technology za wifi zipo nyingi sana, kuna widi, miracast, DLNA, Airplay etc
kwa ufahamu wangu mara nyingi inayodai password ni DLNA na hii ili ikubali inabidi simu na TV viwe kwenye same network.
hio tv inatumia os gani? tuanze hapa.
Mkuu ulifanikiwa na Mimi unielekeze?Natumia Smart TV ambapo humo ndani kama nikitaka kufanya mirroring kuna teknolojia ya Intelwireless display, ambapo unaweza kuunganisha devices nyingine kama Laptop, tablet, na smartphone: Kwa mujibu wa huduma hiyo unaweza kufanya mirroring kutoka kwa vifaa vyenye Intel widi kama laptop ama kwa smartphone zenye huduma ya WiFi direct pia ni rafiki kwa huduma hiyo! Sasa shida yangu ni kwamba nimejaribu Mara kadhaa kuunganisha smartphone yangu kupitia WiFi direct lakini naishia pale ambapo screen ya TV inaponiandia "enter the following security code" harafu chini ya maelekezo hayo kuna kijimstatili ndani yake kuna maneno yanasomeka "PUSH-BUT" . Sasa shida ni kwamba hainipi code ili niweze kujaza kwa smartphone yangu niweze kuwa connected kwa huduma, kila kitu kinaenda sawa tatizo ni jinsi ya kupata hizo security code! Kama kuna MTU ana ujuzi zaidi kwa masuala haya naomba msaada!