Wanasayansi wanasema kuwa inakadiriwa kuna nyota zaidi ya septillion moja katika ulimwengu
(1,000,000,000,000,000,000,000,000,000)
Mpaka sasa inakadiriwa kuna mabilioni ya sayari na mamilioni ya galaxies ambayo yapo mbali sema ni ugumu wa kuzifikia tu, ulimwengu tunaoishi ni mkubwa sana na hii ndio video yake ikionyesha ukubwa wa ulimwengu
Je ulimwengu wetu pamoja na ukubwa wake yawezekana ukawa na ukingo yani mwisho au hauna mwisho?