Nilienda benki kulipa ada ya nusu muhura wakati huo nikiwa chuo mwaka wa nne,pesa yote niliiweka kweny kibegi changu cha vitabu,kumbe wakati navuka barabara ilidondoka yote.Niliingia ndani kutaka kujaza form ya kuweka nakuta sina kitu.Nilichanganikiwa.Nilitoka nje ili nianze kutafuta.Ile naigia barabarani niliona binti mwupe, mwembaba alievalia sare sa shule akinifuata na kunambia 'Kaka ulidondosha hela yako' huku akinikabidhi pesa yangu ikiwa vilevile.Sikuamini nilifurahi sana.Kipindi hicho alikua form 4.Leo ni mke Wangu mama wa mtoto mmoja na mapacha wawili nampenda sana.
mwaka wa nne chuo na form four? hukuona mabango ya Haki Elimu? ila mkuu hongera sana ulifanya vyema mwishoni, happy ending story.Nilienda benki kulipa ada ya nusu muhura wakati huo nikiwa chuo mwaka wa nne,pesa yote niliiweka kweny kibegi changu cha vitabu,kumbe wakati navuka barabara ilidondoka yote.Niliingia ndani kutaka kujaza form ya kuweka nakuta sina kitu.Nilichanganikiwa.Nilitoka nje ili nianze kutafuta.Ile naigia barabarani niliona binti mwupe, mwembaba alievalia sare sa shule akinifuata na kunambia 'Kaka ulidondosha hela yako' huku akinikabidhi pesa yangu ikiwa vilevile.Sikuamini nilifurahi sana.Kipindi hicho alikua form 4.Leo ni mke Wangu mama wa mtoto mmoja na mapacha wawili nampenda sana.