Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,522
- 14,005
Elfu hamsini tu kwa mwezi unlimited internet.Huduma zote ni HALALI KWA 100%Buku 50 ? kwa mwezi ... hapa ndo nakumbuka zangu pd proxxy buku 8 na modem ya 20thousands .. .
Hakuna kublock ni huduma HALALI,na utaendelea kulipia mwenyewe toka kwa service provider.
Hapa hakuna UJANJA UJANJA.
Wadau JF,
Napenda kushare nanyi maujanja ya kupata Internet yenye kasi ya 3G,imbayo unaeza pia kutumia devices kadhaa kama wireless na kupata cable moja kwa ajili ya desktop.
Hakuna kublock ni huduma HALALI,na utaendelea kulipia mwenyewe toka kwa service provider.
Hapa hakuna UJANJA UJANJA.
Ninaposema maujanja namaanisha ni ubunifu,katu simaanishi Ujanja,Ujanja au kama wengi walivyozoea kuita Usanii.Mkuu naomba ubadilisha maneno kwenye post yako ya kwanza sababu yanakinzana hence kuleta mkanganyiko
ISP ni Vodacom ILA utakuwa free kuchagua mtandao mwingine wowote uupendao.Service provider gani?
Huduma inatolwa kwa njia gani? 3G, WiFi, WiMax, satellite au kitu gani?
ISP ni Vodacom ILA utakuwa free kuchagua mtandao mwingine wowote uupendao.
Njia ni 3G
Okay,mwambie huyo potential client anipigie simu.!Call me on the phone, I have potential client who need something like that, but need to be assured inside out about how it works
0767659145, 0787659145
Wadau JF,
Napenda kushare nanyi maujanja ya kupata Internet yenye kasi ya 3G,imbayo unaeza pia kutumia devices kadhaa kama wireless na kupata cable moja kwa ajili ya desktop.
Gharama ni laki mbili na nusu,ikijumlisha router,modem na unlimited internet ya mwezi mmoja.
Hii ni njia halali kabisa ya kupata Internet,baada ya mwezi kuisha utaendelea kulipia 50,000/= kwa ajili ya kuendelea kupata unlimited internet.
Kwa sasa nipo Arusha na hudumia wakazi wa maeneo hayo tu,huko kwingine tuwasiliane tuona namna ya kufanya.
Kama una ofisi nk na unahitaji Internet ya uhakika usipitwe na huduma hii.
Mawasiliano 0713260027|0787140432.
Okay,mwambie huyo potential client anipigie simu.!