Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,276
Hii ni tabia tu ya mtu binafsi na wala sio kusahau. Watu tumechikichia States zaidi ya miongo miwili na bado tunatema kilugha cha kwetu na Kiswahili kama kawaida itakuwa hiyo miaka mitano, wacheni hizo nyie. Halafu hizo Mid Western States ulizozitaja, Iowa na Minnesota mbona wabongo wapo kibao tu, au unaongelea za wapi wewe!.Jamani simtetei hasheem but kama umeishi usa utanielewa, hasheem ameondoka wakat yupo form 2 around 2003 au 2002 makongo, na kwenda straight to high school kule usa, high xul za usa ni tafaut na bongo kule zinachukua miaka mingi had ufike senior then akaenda college connecticut, katika states ambazo ni ngumu kukutana na wabongo au waafrica, I mean states za wazungu karibu wote ni connecticut, so inawezekana hasheem alipita mda mrefu bila kuongea kiswahili zaidi ya akipiga simu home kwao na kipindi hiko sizan kama alikuwa na hela ya kupiga simu kila siku,
Kuna states usa ni ngumu sana kukutana na wabongo wenzako as connecticut, iowa, hawaii, alabama, minnessota and so on so ukikaa huko unaweza usiongee kiswahili hadi unarudi bongo na hiyo inaweza kusababisha misamiati kuitafuta kwa shida wakati wa kuongea, sema kwenye kusikia kusahau ni ngumu as kila neno ukiiambiwa unalikumbuka maana yake but kuongea ni ishu,
Also all in all hasheem is the most succesful youth in Tanzania as at his age hakuna mwenye umri wake anaemzidi kipato, I mean selfmade billionaires labda wa urithi tena wachache so kuwa na swagah muhimu ndo maana leo tunamuona na hummer, kesho range sports nyeusi, jumba masaki na bado bank statement inasoma, as akienda mliman city au 5 star hotel yeyote dunian yeye ana swap master card yenyewe au unicredit, so kumuongekea tunapoteza nguvu tu as bora tufanye kazi tu tujue mustakabali wa maisha yetu mwenzetu ameshatusua.
Hii ni tabia tu ya mtu binafsi na wala sio kusahau. Watu tumechikichia States zaidi ya miongo miwili na bado tunatema kilugha cha kwetu na Kiswahili kama kawaida itakuwa hiyo miaka mitano, wacheni hizo nyie. Halafu hizo Mid Western States ulizozitaja, Iowa na Minnesota mbona wabongo wapo kibao tu, au unaongelea za wapi wewe!.
Niliishi pale Dar kwa miaka 5 bila kufahamu hata salamu ya Kizalamo. Sikuona ajabu sana kwa kuelewa sisi ni waswahili hata mtaani ni Kiswahili.
Ajabu ni hii; Eti Hashim Thabit, kijana aliye chechemea ktk masomo pale jitegemee, akijua Kiswahili sana na kiingereza kwa taaabu kabisa baadaye akaenda Marekani sasa hivi anazungumza Kiswahili kwa taabu na anapoweza, eti ni kwa rafdhi ya kimarekani. Hii ndo nini?
Yeye si wa kwanza. Tunaye pia Nzaeli Kyomo. Mkimbiaji wetu kwa miaka ya nyuma aliyekwenda kuishi Ujerumani, naye akarudi akijidai kusahau Kiswahili kila anapohojiwa.
Mwingine huko Ulaya naye akafanya vituko: Ni Jean Claude van Damme. Alijidai kusahau Kidachi chake lakini yeye wabelgiji walimpa kweli yake kwamba arudi huko alikohamia na filamu zake hawazihitaji.
Nadhani nasi tumpe kweli yake Hasheem (maana naye sasa siyo Hashim tena).
hii hoja uliyokuja nayo inaweza kuonekana ni ya 'kitoto' kwa wengi wetu lakini ni ya msingi sana na hasa kwa Watanzania.Niliishi pale Dar kwa miaka 5 bila kufahamu hata salamu ya Kizalamo. Sikuona ajabu sana kwa kuelewa sisi ni waswahili hata mtaani ni Kiswahili.
Ajabu ni hii; Eti Hashim Thabit, kijana aliye chechemea ktk masomo pale jitegemee, akijua Kiswahili sana na kiingereza kwa taaabu kabisa baadaye akaenda Marekani sasa hivi anazungumza Kiswahili kwa taabu na anapoweza, eti ni kwa rafdhi ya kimarekani. Hii ndo nini?
Yeye si wa kwanza. Tunaye pia Nzaeli Kyomo. Mkimbiaji wetu kwa miaka ya nyuma aliyekwenda kuishi Ujerumani, naye akarudi akijidai kusahau Kiswahili kila anapohojiwa.
Mwingine huko Ulaya naye akafanya vituko: Ni Jean Claude van Damme. Alijidai kusahau Kidachi chake lakini yeye wabelgiji walimpa kweli yake kwamba arudi huko alikohamia na filamu zake hawazihitaji.
Nadhani nasi tumpe kweli yake Hasheem (maana naye sasa siyo Hashim tena).
Wivu wa kike....wivu wa kijinga.....wivu wamaendeleo............wivu wivu wivu utakuua!!Au wewe ujui kama Hashmu ni Superstar?? celebrity??
Acha uwivu wa kizaramo wewe hata utawire uchi ukwel utabaki ukwel kwamba hata fedha za ukoo wenu wote haziwezi kunusa za huyu kijana,
inasikitisha sana kuona unashadadia. uswahili wakati wenzako wanachapa pesa,ulitegemea kwa kipindi chote alichokuwepo mbele arudi na kiswahili cha kina shaaban robert au mrisho mpoto??
inaonyesha jinsi gani ulivyo na elim duni ya kunyambua psychological facts,mabadiliko ya kutokitumia kiswahili kwa mda mrefu yana uwezo wa kupoteza utashi wake wa kuinyambua misamiati ya hiyo lugha,hasa kwa jimbo alilokulia!na ndicho kilichomkuta huyu kijana aliyebarikiwa na rabbana kwa kukukimbiza hata wew kwa mshiko..
UJINGA SANA UNAO UFANYA,KAA CHINI BUNI MBINU ZA KUKUTOA NA SIO MBINU ZA KUDISCUS MAISHA YA WATU AMBAO HAWAJAWAHI HATA KUKUFIKIRIA NA HAWATO FANYA HIVYO KAMWE!!