Ulikuwa Usiku Matata na Captain....

Na hii baridi ya kisulisuli, umenifanya nilowe kwa ghafla 😭😭😭😭

Polee Prisca, kamatia wako upate joto asilia. Maisha sio magumu kihivyooo...
 
Niko single kwa hiyo nikiona hivi naona wivu
[emoji125][emoji125][emoji125]


Eehehehehe pole, humu wanaume wanaojielewa wapo wengi tuu, make life simple jikamatie wako kula raha. Kuumia roho na wivu kunapunguza umri wa maisha...
 
Zee kahaba

Ndo kazi nnayoweza kuifanya ili niishi mjini kuliko niwe matonya, vipi umejuaje ajira yangu au na wewe ulishakuwa mteja wangu...!!??

Kigagula Kasinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…