Ulikuwa Usiku Matata na Captain....

Kasie tuonee huruma tunaoteseka ni sie kwa ile Mvua ya Jana kwel ulipoishia ni kule dah.... Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama Captain

Aahahahahahaaaa usijali, tukirudi ntamwambia Captain kuna mtu anataka kuwa kama wewe akiwa mkubwa ili aku coach.... Natumai utausambaza upendo vyema bin barabara....

Pole kwa kuumia best, nivumilie tuu tena leo najiona nimejibana kweli kutosimulia mahaba yale maana huwa nalalamikiwa sana nasabahisha hamu ziwapande....
Ila hiyo genre hapo juu, ni mwishoooo....

In Slow Motion......
 
Daah kama ntapewa coaching assistance a Captain that will be so fuckntastic Good I hope i will do the training at home Ground as well

Kwa hii weekend ukiweka hzo genre zako za kusababisha misisimko itabd nikamtafute betina wangu na mim nikitulze saafiiii
 
Hahah...mi nachukua notsi tu

Ahahahahaaaaaa keengeeh weeh...

Kabla hujaanza kuzirudia hizo notsi kwa kujisomea au kurefer kwingine Naomba nizisome kwanza ili nirekebishe ulikokosea kuchukua muhtasari.
 

Ahahahahhahahahahahaaaa daaah, unanchokoza ujue..... najizuia kwelikweli kuhorojeka maana unapita kwenye mstari wa msisismko najiuliza tuu hapa umeujuaje huo mstari...!!!??

Msalimie Betina mwambia Kasie hanaga wivu.... Aahahahahahahahhahaaaa yaani weeweee......
 
Ha ha ha ha Kasie Kiwi is unxeplanable reason why sex irreplecable.... Ciao Kasie enjoy the weekend!!
 
Ha ha ha ha Kasie Kiwi is unxeplanable reason why sex irreplecable.... Ciao Kasie enjoy the weekend!!


Aahahahahaaa looh sikubali, lazima you have some hints unanifahamu....

Ntakutafuta sio leo sio kesho ila ntaku suprise tuu tena ukiwa sober aahahahahaaa....

Ciao.
 
Hahaha sasa we si mwalimu hapa, mwalimu huwa hasahihishi notsi...
Ahahahahaaaaaa keengeeh weeh...

Kabla hujaanza kuzirudia hizo notsi kwa kujisomea au kurefer kwingine Naomba nizisome kwanza ili nirekebishe ulikokosea kuchukua muhtasari.
 
Na hii baridi ya kisulisuli, umenifanya nilowe kwa ghafla 😭😭😭😭
 
Hahaha sasa we si mwalimu hapa, mwalimu huwa hasahihishi notsi...

Acha fujo watuuu naomba hizo notsi tafadhali kwa faida yako ili usijikute unakula matango pori. Mwalimu saa ingine anaingiaga chaka ujue eehehehee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…