ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,568
Habari zenu waungwana na wadau wangu,
Niliwamisi sana sana kwani ubize wa mambo mbalimbali ulinikamata hata kuingia humu ilikuwa kwa kubeep tu, awali ya yote niwatakie HERI YA MWAKA MPYA tena je mnaendeleaje wapendwa wangu?
Ndo mama mfundaji nishaingia ndani ya jiji la JamiiForum kwa style ya kuwekana sawa kimaadili na kimaonyo pia.
Na style ya sasa ni hi JE, BADILIKO LINAKUJA HIVIHIVI?
Wapendwa kwanini nimeongelea neno hilo la badiliko linakuja ihivi ndani ya ndoa. Nimesema hivyo kimaudhui kabisa kwani kama unamuona mwenzako bado ana VITABIA vilevile vya mwaka jana wala hajirekebishi usifikiri kuwa badiliko litakuja hivi hivi ndani yake yapo mambo muhimu ambayo itabidi uchukue hatua ili mwenzako aweze kubadilika ndani ya ndoa yenu.
HATUA
A) Jitambue wewe mwenyewe umebadilika vile ulivyokuwa umeishi na mwenzio au ndo sababu?
B) Je yeye kutokubadilika kumesababishwa na niini au wewe ndo source ya yeye kuwa mtama mkavu?
C) Je utafanyaje ili aweze kubadilika kutoka kwenye ufirauni wake wa MCHEPUKO na kuhamia NURUNI kwako?
D) Je mbinu gani uchukue ili atoke kwenye michepuko isiyo na tija kwake?
Kama utaweza kumbadilisha mwenzio aondokane katika hali ya kuwa na wanawake wengi wasio natija kwake basi utafanikiwa kwa asilimia kubwa kuilinda na kuitunza ndoa yako kwenye danger ya kifo.
Wanaume wengi ni wadhaifu mbele ya wanawake na wengi ni wasaliti wa ndoa au wapenzi wao. Wao wanaona fahari sana kuwa lundo la wanawake waliotembea nao kama lundo la minguo michafu itakayotakiwa kufuliwa wanaona kuwa wamewin sana kumbe ndo wanajipalia makaa na kuharibu ndoa/wapenzi wao.
Wengi wa mijanaume imekuwa ina tabia mbaya inaona isifa sana kuambiana kuwa nimeshamaliza mitaa 7 sasa nakalibia kumaliza mtaa wa 8 hawajui kuwa hapo wanajipalia makaa na kuleta maangamivu ndani ya ndoa zao hawana lolote wao kazi yao wamebakia kufanya dhambi ya zinaa ambayo MUNGU ameikataza kabisa soma 11Wakorintho 7 mlango wote utaelewa hapo.
Cha kufanya wewe mwenye ndoa (mwanamke) ni vyema ukammkabidhi mwandanii wako kwa maombi hapo utakuwa umefanya jambo la maana ukiona dalili hizo hapo juu hunabudi kumweka mbele za Mungu naye atamiondolea roho hiyo ngono kwani ukikorofishana nae haitasaidia bali utakuwa umebomoa mwenyewe.
Kwa ninyi wanaume nduguzetu kuweni watu waungwana sio kila ukioonacho ni dhahabu mengine ni maroho najua kwa hili mmepata DOZI kamili ya kufungia january hii na kuwapa vidonge mwenye uwezo wa kumeza meza usiyetaka usimeze ila angalia donda ndugu litakukaanga mwenyewe na utaingia mizima kule unakokujua wewe.
kwani mshahara wa dhambi ni mauti.
Wasalaam;
Ladyf