1. Tafuta marafiki ambao sio waleviHabari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Mkuu hii habari ya LIMIT ukishafikia levo ya uraibu ni haipo, ukisema ukaonje tu umeharibu! binafsi nimepambana sana na hili swala la LIMIT kwa miaka sasa ili nibaki kuwa mnywaji wa bia 2,3 lkn wapi! nikishaonja ya kwanza na ya pili ni kama ndio zinaamsha mzimu wa pombe, hivyo nitakunywa siku nzima niko bar na kutoa offer za kutosha kiasi kwamba kama nilibeba laki moja itaisha na benki naenda tena na tena...So ili niwe salama, ni bora nisionje kbs na nashukuru sina ile tabia ya kuzimiss pombe so naweza kaa hata mwezi na hicho ndo kinaniokoa...NB; Wanywaji wachache sana wanaweza kuwa na LIMIT.Unatumia kilevi gani? Kwanini usiwe na LIMIT Mbona wengi wanakunywa kwa KIASI.
Unatakiwa ujue LIMIT yako baada ya hapo haunywi yaan, hufanyi over drinking kunywa kwa kipimo huzidishi Mbona easy nyinyi ndio mnafanyaga POMBE ionekane ni mbaya na ya watu wapumbavu na wapuuzi.
Mimi Nina limit sababu uki abuse alcohol kesho una amka na hang over kichwa kinauma yanini yote hayo huwa nakunywaga Ile konyagi,black level, hason choice ndogo moja inatosha.Mkuu hii habari ya LIMIT ukishafikia levo ya uraibu ni haipo, ukisema ukaonje tu umeharibu! binafsi nimepambana sana na hili swala la LIMIT kwa miaka sasa ili nibaki kuwa mnywaji wa bia 2,3 lkn wapi! nikishaonja ya kwanza na ya pili ni kama ndio zinaamsha mzimu wa pombe, hivyo nitakunywa siku nzima niko bar na kutoa offer za kutosha kiasi kwamba kama nilibeba laki moja itaisha na benki naenda tena na tena...So ili niwe salama, ni bora nisionje kbs na nashukuru sina ile tabia ya kuzimiss pombe so naweza kaa hata mwezi na hicho ndo kinaniokoa...NB; Wanywaji wachache sana wanaweza kuwa na LIMIT.
Mimi kwa upande wangu, nilianza kwa kujitenga na marafiki walevi, pia niliweka nia ya kutokwenda kwenye vilabu vya pombe hata nikitoka naenda sehemu ambazo mara nyingi hawana vilevi. Kubwa zaidi nililolifanya kushinda tamaa za mwili kama ulevi, uzinzi, uvutaji wa sigara ni kufunga na kuomba. Mwanzoni ni ngumu ila ukianza kwa kutenga walau siku 3 za kufunga kwa wiki utafanikiwa.Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Pombe zinahusiana nini na kanisani?Bora umekiri mwenyewe, nenda Kanisani katubu dhambi zako au Msikitini, mrudie Mungu wako, usijaribu kutumia waganga kuacha pombe utakufa!!
Muda wa kunywa pombe we kunywa maziwa, utashinda
Nakubaliana na wewe kaka mkubwa.Miiko mitatu ya pombe itakayokusaidia maishani
Kila unywapo pombe kumbuka haya
1. Wewe ni nani
2.Uko wapi
3. Unafanya nini
Ukiona huwezi kuyakumbuka hayo acha pombe mara moja
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Umeshafikia kiwango cha addiction. Ni ngumu sana kuacha. Inahitaji neema ya Mungu tu.Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.p
Pole sana kaka.Habari zenu ndugu zangu,