Detective J
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 30,661
- 55,934
Hongera kwanza kwa kukubali shida ni ulevi.Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
kila tabia ina matatizo yako kwaiyo n ww kuchagua tatizo ambalo unaona nafuu.Asante kwa ujinga wako mkuu. Ila mtoa mada atachambua mwenyewe ushauri Bora na takataka. Mlevi unamtengeneza tena addiction nyingine ya kamari ili auze kila kitu kwa kubeti. Kazi kweli kweli.
Pombe tamu asikuambie mtu! Bia tamu! Biaaa! Biaaa! Mitungi! Bia tamu!Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Mpaka mtoa mada anaomba msaada, kama ni kweli, tayari amejitambua. JF ni sehemu ya makimbilio kwake. Tumshauri kumnasua. Kumwambia atafute tena ulevu wa wanawake na kamari kama mbadala wa pombe unamuingiza kwenye mgogoro mwingine mkubwa wa kiuchumi na kiakili. Vinginevyo niamini kuwa ukiandika utani na sio ushauri. Ndugu yangu ameacha Pombe kabisa kwa ushauri niliotoa hapo juu.kila tabia ina matatizo yako kwaiyo n ww kuchagua tatizo ambalo unaona nafuu.
Mfano ww una tatizo la Mental illness na huelewi we unajiona uko sawa
Mi niliacha pombe kwa kuanza kushabikia mpira na saizi ndo ulevi wangu!Mpaka mtoa mada anaomba msaada, kama ni kweli, tayari amejitambua. JF ni sehemu ya makimbilio kwake. Tumshauri kumnasua. Kumwambia atafute tena ulevu wa wanawake na kamari kama mbadala wa pombe unamuingiza kwenye mgogoro mwingine mkubwa wa kiuchumi na kiakili. Vinginevyo niamini kuwa ukiandika utani na sio ushauri. Ndugu yangu ameacha Pombe kabisa kwa ushauri niliotoa hapo juu.
Au uraibu wa mademu, akisikia kiu ya gambe anaita manzi huo mda anaupoteza kwa kuichapa akitoka hapo hoi anaenda kulalaAnzisha uraibu wa papuchii lazima huko uchomoke
Au tafuta uraibu wa kubet
Au uraibu wa kushabikia mpira
Yaan nisikufiche uraibu unatibiwa kwa uraibu mwingine
Kila kitu kizuri au kibaya hutumia muda, akili na pesa. Hivyo tusimshauri mtoa mada kujiingiza kwenye jambo hatari kuliko la pombe, eti wanawake na kamari. Yote mawili yana madhara ya moja kwa moja. Bado naupinga ushauri wako kimantiki hata mwenyewe unajua.Mi niliacha pombe kwa kuanza kushabikia mpira na saizi ndo ulevi wangu!
Hizo njia nyingine zilifeli endelea kumlisha hekima isiyo fanya kazi.Tabia mpya nilazima iwe inakuretea furaha ndio utaweza isahau tabia ya zaman
haya mshauri nausubir ushauri wakoKila kitu kizuri au kibaya hutumia muda, akili na pesa. Hivyo tusimshauri mtoa mada kujiingiza kwenye jambo hatari kuliko la pombe, eti wanawake na kamari. Yote mawili yana madhara ya moja kwa moja. Bado naupinga ushauri wako kimantiki hata mwenyewe unajua.
Pombe ndio mpango mzima,wasiokunywa pombe ni watu wa hovyo,wewe ni mtu bora sana kama unapiga kilevi vya kutoshaHabari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana! Tamaa yangu nikurejesha maisha yangu ya hapo awali.
Naomba msaada wenu wote ili niweze kushinda vita hii dhidi ya pombe. Ninatafuta ushauri juu ya jinsi ya kuacha kunywa na kujenga tena maisha yangu.
Ninaamini kwamba kwa msaada wenu, nitaweza kushinda uraibu huu na kuwa mtu bora zaidi. Asante sana kwa ushirikiano wenu.
Kama anachosema ni kweli,, ataamua mwenyewe. Wengi wametoa ushauri. Atachagua ushauri wako, au wa yeyote.haya mshauri nausubir ushauri wako
Mpokee Yesu kui yote ya pombe inaangamiaHabari zenu ndugu zangu,