Ule mpango kabla ya Passover umekamilika

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Hheee! Kheri ya Mwaka mupya! Happy valentine Nye Nye nikawamiss Nye nyee.
Sikieni walahi sasa mambo kidogo huyu yapoa. Presha inepungua kidogo. Sasa apata usingizi na ahueni. Alhamdullah sio kama miezi mwili nyuma. Miye nakuja kuwajuza yule Ayatollah siku zake zabaki chache Sana. Nambiwa Passover heheee gameover. Hapo April. Tatizo nami Mbeya lakini mwajua nanyi mwataka kujua. Mayii! Na bado
 
Acha tuendelee na premio
 
Wewe tapeli tushakuchoka nina maFile yako mengi sana
 
Hii mambo ya Ayatollah yakija kutimia siku hiyo watu watakunywa ujimbii na Kangala vilabu vyote vitaishiwa na wengine watalala vilabuni kwa mashangilio.
 
Ayatollah kwa sasa msog kwenye mananasi!!
 
Tunauza unga siku hizi.
Pass Opium.
Pass Meth amphetamine.
EE0A8084-ED35-4D66-87BA-5D423B8ED835.jpeg
 
Wasalimiee 🤸🏽‍♀️
Huyo kalewa sahizi anajilamba midomo akishalewa anakuja kutuandikia vioja vyake nani anataka, karibu tuchome kuni tuote moto huuku kuna bariidi
 
Back
Top Bottom