Bpk Member Joined Jun 28, 2018 Posts 46 Reaction score 18 Dec 23, 2019 #1 Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1. Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
Nina gari aina ya Toyota Vitz ya mwaka 2000 yenye cc 990 ulaji wake wa mafuta ni km 9 kwa litre 1. Wakati kwa wengine inakula 12km kwa litre. Kwangu tatizo litakuwa ni nini wadau.
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 16,338 Reaction score 37,780 Dec 23, 2019 #2 Ukiona unalalamika habar ya mafuta ujue umeforce muda ulikuwa bado wa kumiliki gari.. Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona unalalamika habar ya mafuta ujue umeforce muda ulikuwa bado wa kumiliki gari.. Sent using Jamii Forums mobile app
Bpk Member Joined Jun 28, 2018 Posts 46 Reaction score 18 Dec 23, 2019 Thread starter #3 gwankaja said: Ukiona unalalamika habar ya mafuta ujue umeforce muda ulikuwa bado wa kumiliki gari.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio kuforce kitu kama kinawezekana kukirekebisha kuliko kupoteza pesa ata kama unazo za kutosha
gwankaja said: Ukiona unalalamika habar ya mafuta ujue umeforce muda ulikuwa bado wa kumiliki gari.. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sio kuforce kitu kama kinawezekana kukirekebisha kuliko kupoteza pesa ata kama unazo za kutosha
Kilosaone JF-Expert Member Joined May 3, 2015 Posts 417 Reaction score 236 Dec 23, 2019 #4 Bpk said: Sio kuforce kitu kama kinawezekana kukirekebisha kuliko kupoteza pesa ata kama unazo za kutosha Click to expand... Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app
Bpk said: Sio kuforce kitu kama kinawezekana kukirekebisha kuliko kupoteza pesa ata kama unazo za kutosha Click to expand... Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,319 Reaction score 13,390 Dec 23, 2019 #5 Kilosaone said: Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwa kigezo gani mkuu?
Kilosaone said: Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwa kigezo gani mkuu?
Bpk Member Joined Jun 28, 2018 Posts 46 Reaction score 18 Dec 23, 2019 Thread starter #6 Kilosaone said: Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa sawa
Kilosaone said: Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sawa sawa
Mkomavu JF-Expert Member Joined Jan 25, 2016 Posts 12,298 Reaction score 17,847 Dec 23, 2019 #7 Kilosaone said: Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hayo maelezo ni ya kweli au umezidisha chumvi?? Sent using Jamii Forums mobile app
Kilosaone said: Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Hayo maelezo ni ya kweli au umezidisha chumvi?? Sent using Jamii Forums mobile app
mng'ato JF-Expert Member Joined Oct 27, 2014 Posts 29,195 Reaction score 49,135 Dec 23, 2019 #8 Naona umeamua kumdamganya mwana. Kilosaone said: Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umeamua kumdamganya mwana. Kilosaone said: Waone wataalam vitz Lita1 inayakiwa utembee 20km kwenye highway na mjini kwenye jam ni 15km. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,805 Reaction score 132,458 Dec 24, 2019 #9 Vits ya cc 990 vvti ikiwa highway unaweza ukadhani haitumii kabisa mafuta! kiufupi huwa inanusa tu.