pole sana mkuu, vipi kwa injini kubwa kama 2000cc zinakua na shida kama hizo ndogo? najichanga nichukue chuma cha kuwa kinanipeleka kijijini itakua poa nikimvua mtu au ni salama?Mkuu haiwezekana IST ikala mafuta kiasi hicho there is something wrong nenda kwa fundi ukachek diagnostic! Finally nakushauri usije ukathubutu kununua gari iliyotumika TZ mi ilinicost sana nilinunua OPA Kwa mtu nilikula hasara sana! Kwa kuitengeneza matatizo yasiyoisha Finally niliuza kwa pesa ya kutupa hata jamaa aliniuzia na rafiki zake urafiki umeisha tukikutana bar sio lazima tusalimiane kila mtu na maisha yake nimeamua nijichange tu nikamilishe pesa ya kuagizia kutoka Japan direct maana hata showroom sitaki kusikia
Usimvue mtu unless uwe umekubali risk kwa ushaur wangu nunua gari used kutoka nje na si double used! Kama mfuko hauruhusu ni vzur kuendelea kujichanga otherwise wahuni hawa madalali na wauzaji wasio waaminifu watanywea henken hela yako yotepole sana mkuu, vipi kwa injini kubwa kama 2000cc zinakua na shida kama hizo ndogo? najichanga nichukue chuma cha kuwa kinanipeleka kijijini itakua poa nikimvua mtu au ni salama?
Hivi mkuu,km 2,000,000 unazifahamu lkn?tena kwa IST?Hiyo gari ni mbovu unahatarisha maisha yako na uliowabeba..Peleka service ifanyiwe scan kwanzia engine,Ac na mifumo yote hiyo gari cubic capacity yake haizidi 2000.Au imetembea mile age Km 2,000,000😀
Achana na hizo cc990, utajutaa maisha yako yoteVits cc 990 na vitz rs cc 1290 zina tumia mafuta kiasi gani kwa kila 1 , lita 1 kwa km ngapi
Hamna gari hapo..Vits cc 990 na vitz rs cc 1290 zina tumia mafuta kiasi gani kwa kila 1 , lita 1 kwa km ngapi
Achana na hizo cc990, utajutaa maisha yako yote
Ungetoa maelezo kidogo, kwanini mtu ajute.... Kwa faida ya wengiAchana na hizo cc990, utajutaa maisha yako yote
Ni injini ndogo sana, zinashindwa kuhimili joto la Dar, mikikimikiki, na kutembea mda mrefu.Ungetoa maelezo kidogo, kwanini mtu ajute.... Kwa faida ya wengi