Waambie clauds waliweka tamasha la zege day niliwashanga Sana..Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote.
SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250.
Kwahiyo WALAJI wengi wa CHIPS wapo katika HATARI ya kutengeneza SUMU kwenye MIILI yao bila kujua.
UTAFITI unaonyesha WATU wengi hupendelea KULA chips mayai, kuku, soseji au hata kwa mishikaki maana yake ni kwamba KIWANGO hicho cha MAFUTA huzidi kwa sababu na vyenyewe huwa VUMEKAANGWA
JAMBO la KUSIKITISHA ni kwamba WAFANYABIASHARA wengi wamekuwa hawazingatii UMUHIMU wa kutumia MAFUTA mara moja katika kukaanga VITU hivyo.
WENGI huwa wanapikia MAFUTA kwa zaidi ya mara mbili na hivyo kuzidisha HATARI zaidi
“Wanazidisha HATARI kwa sababu… kawaida MAFUTA yanapaswa KUPIKIWA mara moja. Kadri unavyounguza MAFUTA ndivyo ambavyo ule MFUMO wa MAFUTA MASAFI ambayo yanatakiwa kwa MWILI wa MWANADAMU unabadilika na kuwa MACHAFU, maana yake ni kwamba unapopikia MAFUTA zaidi ya mara mbili tayari yanakuwa yametengeneza SUMU ambayo haitakiwi MWILINI ,”
lakini WATU wanataka kufanya BIASHARA hivyo huendelea KUYATUMIA bila KUJALI au pengine KUTOKUJUA kwamba wanaziweka AFYA za WALAJI katika HATARI ya kupata MATATIZO endelevu
Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu Nyingi za mwili wa Mwanaume. Matokeo yake ni mwili kuwa na mafuta mengi ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta ambayo husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba
kama ni mpenzi sana wa kula chipsi na hufanyi MAZOEZI! madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, Kupungukiwa nguvu za kiume na Kupata Unene uliopitiliza. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanapata Matatizo mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao
Hivyo kuwapelekea kuwa dhaifu hususani wakati wa kushiriki tendo la Ndoa na wenza wao! Kutokana na damu kutokuwa na uwezo wa kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume na hii KUPELEKEA Kuwa na Uume mlegevu, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni na Kukosa stamina ya kumudu Tendo la ndoa Kwa muda mrefu
Je ni madhara GANI umeyapata KWA kutumia chips???
Kama umenielewa tuandikie hapo chini.
Health consultation
Tunajali afya yako
Ingekua hivi chips zisingekuwepo mtaani.SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250
Swala ni je wataweza kweli kuacha kula Kiepe,Chipsi teketeke au Vuruga...?Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote.
SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250.
Kwahiyo WALAJI wengi wa CHIPS wapo katika HATARI ya kutengeneza SUMU kwenye MIILI yao bila kujua.
UTAFITI unaonyesha WATU wengi hupendelea KULA chips mayai, kuku, soseji au hata kwa mishikaki maana yake ni kwamba KIWANGO hicho cha MAFUTA huzidi kwa sababu na vyenyewe huwa VUMEKAANGWA
JAMBO la KUSIKITISHA ni kwamba WAFANYABIASHARA wengi wamekuwa hawazingatii UMUHIMU wa kutumia MAFUTA mara moja katika kukaanga VITU hivyo.
WENGI huwa wanapikia MAFUTA kwa zaidi ya mara mbili na hivyo kuzidisha HATARI zaidi
“Wanazidisha HATARI kwa sababu… kawaida MAFUTA yanapaswa KUPIKIWA mara moja. Kadri unavyounguza MAFUTA ndivyo ambavyo ule MFUMO wa MAFUTA MASAFI ambayo yanatakiwa kwa MWILI wa MWANADAMU unabadilika na kuwa MACHAFU, maana yake ni kwamba unapopikia MAFUTA zaidi ya mara mbili tayari yanakuwa yametengeneza SUMU ambayo haitakiwi MWILINI ,”
lakini WATU wanataka kufanya BIASHARA hivyo huendelea KUYATUMIA bila KUJALI au pengine KUTOKUJUA kwamba wanaziweka AFYA za WALAJI katika HATARI ya kupata MATATIZO endelevu
Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu Nyingi za mwili wa Mwanaume. Matokeo yake ni mwili kuwa na mafuta mengi ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta ambayo husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba
kama ni mpenzi sana wa kula chipsi na hufanyi MAZOEZI! madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, Kupungukiwa nguvu za kiume na Kupata Unene uliopitiliza. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanapata Matatizo mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao
Hivyo kuwapelekea kuwa dhaifu hususani wakati wa kushiriki tendo la Ndoa na wenza wao! Kutokana na damu kutokuwa na uwezo wa kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume na hii KUPELEKEA Kuwa na Uume mlegevu, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni na Kukosa stamina ya kumudu Tendo la ndoa Kwa muda mrefu
Je ni madhara GANI umeyapata KWA kutumia chips???
Kama umenielewa tuandikie hapo chini.
Health consultation
Tunajali afya yako
Mafuta ya alizeti hayasaidii chochote,zile Ni marketing gimmicks tu.Mafuta yanayotokana na mbegu Ni hatari sana tu.HII DUNIA NAISHANGAA SANA
MAFUTA AMBAYO KIAFYA YANA SAIDIA,NDIYO YANAUZWA GHALI
SASA NYIE KAMA MNAJALI AFYA ZA WANADAM KWANINI MAFUTA YA ALIZETI NK,YASIUZWE BEI NAFUU
MKAOKOA MAISHA YA WATU
ova
Duh nmekuelewaMafuta ya alizeti hayasaidii chochote,zile Ni marketing gimmicks tu.Mafuta yanayotokana na mbegu Ni hatari sana tu.
Mafuta Bora Ni yanayotoka na parachichi/Nazi na yawe cold pressed na sio kwa centrifugal au single auger.Ila Bei ya hayo Mafuta wataoziweza Ni wale tuliobahatika kulamba asali.
Kuna uongo hapo kwenye sahani moja ya chips kuwan 250 mls za mafuta.Ulaji wa chipsi umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote.
SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250.
Kwahiyo WALAJI wengi wa CHIPS wapo katika HATARI ya kutengeneza SUMU kwenye MIILI yao bila kujua.
UTAFITI unaonyesha WATU wengi hupendelea KULA chips mayai, kuku, soseji au hata kwa mishikaki maana yake ni kwamba KIWANGO hicho cha MAFUTA huzidi kwa sababu na vyenyewe huwa VUMEKAANGWA
JAMBO la KUSIKITISHA ni kwamba WAFANYABIASHARA wengi wamekuwa hawazingatii UMUHIMU wa kutumia MAFUTA mara moja katika kukaanga VITU hivyo.
WENGI huwa wanapikia MAFUTA kwa zaidi ya mara mbili na hivyo kuzidisha HATARI zaidi
“Wanazidisha HATARI kwa sababu… kawaida MAFUTA yanapaswa KUPIKIWA mara moja. Kadri unavyounguza MAFUTA ndivyo ambavyo ule MFUMO wa MAFUTA MASAFI ambayo yanatakiwa kwa MWILI wa MWANADAMU unabadilika na kuwa MACHAFU, maana yake ni kwamba unapopikia MAFUTA zaidi ya mara mbili tayari yanakuwa yametengeneza SUMU ambayo haitakiwi MWILINI ,”
lakini WATU wanataka kufanya BIASHARA hivyo huendelea KUYATUMIA bila KUJALI au pengine KUTOKUJUA kwamba wanaziweka AFYA za WALAJI katika HATARI ya kupata MATATIZO endelevu
Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu Nyingi za mwili wa Mwanaume. Matokeo yake ni mwili kuwa na mafuta mengi ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta ambayo husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba
kama ni mpenzi sana wa kula chipsi na hufanyi MAZOEZI! madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, Kupungukiwa nguvu za kiume na Kupata Unene uliopitiliza. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanapata Matatizo mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao
Hivyo kuwapelekea kuwa dhaifu hususani wakati wa kushiriki tendo la Ndoa na wenza wao! Kutokana na damu kutokuwa na uwezo wa kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume na hii KUPELEKEA Kuwa na Uume mlegevu, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni na Kukosa stamina ya kumudu Tendo la ndoa Kwa muda mrefu
Je ni madhara GANI umeyapata KWA kutumia chips???
Kama umenielewa tuandikie hapo chini.
Health consultation
Tunajali afya yako
Kupumbaza vijana wenzio afu washindwe kuchakata papuchi za Ke inavyopasa ili waje wahuni waibe Ke zao ni uzuzu [emoji57]Uwongo huo NI uwongo bhana
Why chips ziwe na madhara halafu mandazi yawe hayana madhara.
Wauza madawa ya kulevya na energy drinks hawajafunga, ndiyo wafunge hao wauza chipsi, au hujui kuwa wamejiajiri [emoji848][emoji19]Acha uongo hao wapika chips si wangefunga hizo biashara, yaani kila sahani ina nusu glass ya mafuta, hawa ndiyo wataalamu kanjanja
Yanapatikana wapi hayo Chifu, na kwa bei gani?Mafuta ya alizeti hayasaidii chochote,zile Ni marketing gimmicks tu.Mafuta yanayotokana na mbegu Ni hatari sana tu.
Mafuta Bora Ni yanayotoka na parachichi/Nazi na yawe cold pressed na sio kwa centrifugal au single auger.Ila Bei ya hayo Mafuta wataoziweza Ni wale tuliobahatika kulamba asali.
Kweliii...mwenye sikio na asikie..thanksUlaji wa chipsi umetajwa kuwa HATARI kwa afya ya Binadamu, kwani husababisha maradhi mengi yasiyo ya kuambukiza hasa FIGO, MOYO , SHINIKIZO LA DAMU,KISUKARI NA SARATANI za aina zote.
SAHANI moja ya CHIPS kavu huwa na MAFUTA yanayokaribia NUSU glass ambayo ni sawa na ujazo wa mililita 250.
Kwahiyo WALAJI wengi wa CHIPS wapo katika HATARI ya kutengeneza SUMU kwenye MIILI yao bila kujua.
UTAFITI unaonyesha WATU wengi hupendelea KULA chips mayai, kuku, soseji au hata kwa mishikaki maana yake ni kwamba KIWANGO hicho cha MAFUTA huzidi kwa sababu na vyenyewe huwa VUMEKAANGWA
JAMBO la KUSIKITISHA ni kwamba WAFANYABIASHARA wengi wamekuwa hawazingatii UMUHIMU wa kutumia MAFUTA mara moja katika kukaanga VITU hivyo.
WENGI huwa wanapikia MAFUTA kwa zaidi ya mara mbili na hivyo kuzidisha HATARI zaidi
“Wanazidisha HATARI kwa sababu… kawaida MAFUTA yanapaswa KUPIKIWA mara moja. Kadri unavyounguza MAFUTA ndivyo ambavyo ule MFUMO wa MAFUTA MASAFI ambayo yanatakiwa kwa MWILI wa MWANADAMU unabadilika na kuwa MACHAFU, maana yake ni kwamba unapopikia MAFUTA zaidi ya mara mbili tayari yanakuwa yametengeneza SUMU ambayo haitakiwi MWILINI ,”
lakini WATU wanataka kufanya BIASHARA hivyo huendelea KUYATUMIA bila KUJALI au pengine KUTOKUJUA kwamba wanaziweka AFYA za WALAJI katika HATARI ya kupata MATATIZO endelevu
Chips ni chakula chenye mafuta mengi na mafuta yanapoingia mwilini huenda kuzunguka sehemu Nyingi za mwili wa Mwanaume. Matokeo yake ni mwili kuwa na mafuta mengi ambayo hupelekea mirija ya kusafirisha damu kuwa na mafuta ambayo husababisha njia ya kupitia damu kuwa nyembamba
kama ni mpenzi sana wa kula chipsi na hufanyi MAZOEZI! madhara yake ni kupata magonjwa ya moyo, Kupungukiwa nguvu za kiume na Kupata Unene uliopitiliza. hivi sasa idadi kubwa ya vijana wanapata Matatizo mengi yanayo sababishwa na mkusanyiko wa mafuta katika miili yao
Hivyo kuwapelekea kuwa dhaifu hususani wakati wa kushiriki tendo la Ndoa na wenza wao! Kutokana na damu kutokuwa na uwezo wa kutiririka Kwa Kasi kwenye Uume na hii KUPELEKEA Kuwa na Uume mlegevu, Kukosa hamu ya tendo, kuwahi kufika kileleni na Kukosa stamina ya kumudu Tendo la ndoa Kwa muda mrefu
Je ni madhara GANI umeyapata KWA kutumia chips???
Kama umenielewa tuandikie hapo chini.
Health consultation
Tunajali afya yako
Wewe kweli una shida sana ulichoandika hapa kimekuvua nguo mkuuUmejizungusha wee mwisho umezisingizia chips eti zinaleta tatzo la nguvu za kiume...
Me naendelea kula vzuri chips yai rojo na kuku sijawah kujihisi nina tatzo la nguvu za kiume nina miaka ya kutosha duniani hapa...
Tatzo la nguvu za kiume lina sababbishwa na mengi:- kupiga nyeto, kuangalia picha na video za ngono, uoga na papara wakat wa sex, stress za maisha, kisukari, vidonda vya tumbo, matumizi ya madawa ya kulevya, matumizi ya pombe kupita kias, presha, kumzoea na kumchoka mpenz wako, kutojiamini n.k...
Kwahiyo msisingizie chips vijana, wewe kaa ujitathimini kati ya hizo sababu kuna yoyote uliyonayo, kama ndiyo ifanyie kazi...
Usione aibu njoo private nikusaidie bure namna ya kuondokana na tatzo la nguvu za kiume... Ila usijidanganye vyakula kama chips yai ndio chanzo... Jikubali una shida usitafute mchawiWewe kweli una shida sana ulichoandika hapa kimekuvua nguo mkuu