SirSalumu Member Joined Jul 1, 2019 Posts 19 Reaction score 8 Aug 22, 2019 #1 hivi kwamfano uliomba vyuo vinne ila majibu yalivyotoka ukapata kimoja na ww aujakipenda inakuwaje au niombe tena
hivi kwamfano uliomba vyuo vinne ila majibu yalivyotoka ukapata kimoja na ww aujakipenda inakuwaje au niombe tena
Mungoni Mshamba Senior Member Joined Jan 30, 2017 Posts 154 Reaction score 63 Aug 22, 2019 #2 Huwezi kuomba tena.