Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,712
- 1,661
Kabsa nakumbuka afu kibaya zaidi tulifuatilia ila hatukukuta kitu zaid ya moshi moshi tuKahama ndege ilianguka wakasema ivi ivi yaani waafrika kama tumelogwa
Kama covid 19 ilivyofichwa kwa bidiiWatanzania tumezidi kuficha hata kitu kiko wazi kabisa....
Wakati mwingine kupitia kuficha ficha kunafanya jambo jepesi libadilike na kuwa scandal.Watanzania tumezidi kuficha hata kitu kiko wazi kabisa....
Kiukwel inauma sanaNa hiyo ni ndege ya mabua ambayo haina gharama ama?
Mna bahati sana sio darfur hapo
Sijui mngeficha nini na mngesema kitu gani
Yaani Latin America kila dakika 60 kuna mtu anatekwa
Na 70% ya hao huwa hawaponi
Ila bado wanatangaza
Naona time hii bandar imewachachafya watu mpka wameleta dramma afu zote hatutaki tunaitaka bandar yetu tu[emoji16][emoji16]japo ni ya mfano lakini designer apewe maua yake,hii kama sio wapinzani kukomaa na bandari ilikuwa inapaa kabisa hii[emoji28][emoji28][emoji28]