Dkt Mwijuma
JF-Expert Member
- Apr 9, 2023
- 205
- 614
Kabisa,,, bidhaa za duka mfano sukari,, pipi, sabuni, mafuta nk faida yake ni ndogo sana lazima ukimbieUmeongea kweli alafu lazima ukimbie kodi
Ukweli ndio huoKariakoo nimeuziwa jeans hilo ukivuta kidogo tu linatatuka daah
Tamaa zako ndio zinakufanya ukimbie..unataka utajiri wa haraka bila kujua ni mchakato...wengine wenu mna tamaaa ndio mnatuletea mabidhaaa feki sokoni... shame to you!!!Kabisa,,, bidhaa za duka mfano sukari,, pipi, sabuni, mafuta nk faida yake ni ndogo sana lazima ukimbie
Ww unafanya biashara gani mda huu?sio kweli unaweza tajirika vizuri tuu Kwa kutoa huduma nzuri..kinachosababisha hayo mamb unavyosema ni tamaaa tuuu za wafanyabiashara,,na kupenda shortcut na Hela za mkato....
Tamaa..tamaaa.tamaaaa..ndio mentally ya wafanyabiashara wengi thus why mabidhaaa feki ni mengi..chanzo Cha bidhaaa feki ni tamaaaa za wafanyabiashara.
Ni biashara ipi unafanya hapo mkuu,, utajiri ni kitu kinakuna mda mfupi sanaTamaa zako ndio zinakufanya ukimbie..unataka utajiri wa haraka bila kujua ni mchakato...wengine wenu mna tamaaa ndio mnatuletea mabidhaaa feki sokoni... shame to you!!!
mikopo..!!Ww unafanya biashara gani mda huu?
Yessss! Utakuwa ni tajiri sana maana kukopesha kwa riba ni uhuni mkubwa na dini zote zimekatazamikopo..!!
so ww unaona suluhusho ni kuleta bidhaa feki na kuwachanganyia wateja wako..hapo ni kutafuta short cut mkuuu jambo ambalo sio poaNi biashara ipi unafanya hapo mkuu,, utajiri ni kitu kinakuna mda mfupi sana
Hao matajiri unaowajua ww, walitoka mbali wakaja kuupata utajiri kwa mda mfupi sana
Inategemea unaingiza kias gan kwa siku,, faida yako 20,000 par day ule, uvae ww na familia yako, matibabu, usafiri, ada nk utafanya biashara mpaka Yesu arudi ukiwa hivyoo hivyo
Utajiri unakuja pale ambapo biashara unayofanya unakupa faida kubwa, sio mda
Ni kwel lkn tutapataje huo utajiriso ww unaona suluhusho ni kuleta bidhaa feki na kuwachanganyia wateja wako..hapo ni kutafuta short cut mkuuu jambo ambalo sio poa
Ubepari [emoji848]Hata ukiuza bidhaa feki kama hauna tabia za kibepari hautatoboa.
Biashara inahitaji ubepari na sio uhuni.
Unaposema dini zote zimekataza una maana Gani...au dini Yako Ndio imekukataza..mm ni mkristo by the way riba nimeruhusiwa katika maandiko asa unaposema dini zote zimekataza nakushangaaa..Yessss! Utakuwa ni tajiri sana maana kukopesha kwa riba ni uhuni mkubwa na dini zote zimekataza
Ubepari maana yake unyonyaji uliotukuka..Ubepari [emoji848
sure utajiri ni lazima utafute kundi la watu uwanyonye kwel kwel ..watumie wazalishe Kwa niaba Yako..ndivyo matajir wengi wanavyofanya but wanahakikisha mnyonywaji hatambui kama ananyonywa Bali anaona kama anasaidiwa..Hata ukiuza bidhaa feki kama hauna tabia za kibepari hautatoboa.
Biashara inahitaji ubepari na sio uhuni.
Na ndio ubepari huo.sure utajiri ni lazima utafute kundi la watu uwanyonye kwel kwel ..watumie wazalishe Kwa niaba Yako..ndivyo matajir wengi wanavyofanya but wanahakikisha mnyonywaji hatambui kama ananyonywa Bali anaona kama anasaidiwa..
Refer wanasiasa,, wafanyabiashara kama kina moooo,baresa,wahindi namna wanavyowanyonya na kuwatumikisha wafanyakazi wao,,..wahubiri wa injili kama kina mwamposa,gwajima na kakobe...masheki kama yule wa nyota aliyekufa....nk
The same Kwa mataifa makubwa America ni super power coz wananyonya mataifa mengine Kwa njia mabalimb.