Hela?WTF!
Is it even something to brag about in public.
Hela zilikuwepo tangu kipindi cha Yesu, sema wewe ndiyo umezipata saa hizi.
Pole sana.
Ila ukweli utabaki kuwa pale pale,
Kizazi hiki kimeoza siyo vijana wa kiume wala wa kike.
Kwanza ninyi mnaojiiita mna hela,
Ndiyo wengi wenu mnaongoza kuwa wazazi wabovu.
That's a fact..Swallow it!!!
Unaonekana umepanic, huelewi.
Wanawake wa zamani hawakuwa na namna ya kujitegemea hivyo ilikuwa lazima wawe watii na wavumilivu kwa waume zao lakini sasa hivi ni tofauti kwa sababu wanatafuta hela wenyewe na wanaweza kujitegemea hivyo wakifanyiwa vitu vibaya wana amua kuondoka...
umechanganyikiwa kwa kweli, hufikirii hata sekunde unakurupuka kujibu. Hela za wakati wa kale zilikuwa za nani? Hata kurithi mwanamke alikatazwa.
Hata mjinga akikaa kimya huonekana ana busara: usikurupuke.
Imeku-uma eeh, ndo hivyo tena. Hatulingani na wa zamani maana wa zamani hawakuwa na hela zao.
Hongera kwa kuna akili sana.
Haya naomba unijibu maswali yafuatayo.
Nini chanzo cha kuharibika kwa hao vijana?
Wameharibika tu hao wa kiume?
"For every effects there is a cause". Hoja zako nzuri lakini kwa kiasi kikubwa umeangalia pale tulipoangukia na si kujikwaa. Umegusa matokeo na si sababu.
Watu kucheka kamali si Tatizo kwani "mfa maji haishi kutapatapa". Kama ajira hakuna na hakuna namna ya kumsaidia mtu kusonga kwa nini asicheze.
Kutafuta majimama sio kosa maadamu mtu habaki. Maana maisha ya jamii kuanzia viongozi wa dini hadi wakubwa serikali yamekuwa ya kuvizia.
Kuishi kwa ujanja ujanja. Hili ni kosa la mfumo ambalo limeruhusu hali hii. Ndio maana si ajabu kukuta "mention town/ dalali" ana maisha mazuri kushinda mtumishi wa umma.
Watu wengi tunawahi kuzeeka sababu serikali Imeshindwa kutulinda. Nguzo muhimu ya afya bora ni mazoezi. Leo viwanja vya mazoea vimejengwa "flemu" na sehemu za wazi zimevamiwa. Bidhaa nyingi ni feki na hazikidhi ubora. Kwa maana hiyo lazima watu wazeeke mapema.