Ukweli unauma

Joined
Nov 7, 2015
Posts
7
Reaction score
8
Inaumiza kuyaona na kuyasikia mambo yafuatayo yakifanywa na wanaume wa kizazi cha sasa hivi, ni aibu na hayafai kabisa katika jamii zetu.

1 .Kushindwa kutunza siri,Kila mwanadamu ana matatizo na mapungufu yake ambayo kwa kiasi kikubwa hutakiwa kuyatatua kwa kina na umakini mkubwa,Lakini katika Siku za karibuni Imekuwa kawaida kuona ama kusikia mwanaume akieleza siri zake hadharani ama kwenye social media,Mara ooh Siku hizi Mke wangu ananinyima uchumba,Mara ooh Mke wangu ana kovu pajani,tumefikaje hapa?

2. Charting zenye ukakasi,uko mahali umetulia ukiwaza mambo yako,ghafla unasikia Mlio wa SMS,ile unaifungua tu unakutana na...Mambo vepee my?mfyuuu...xaxa mbona umenigaya?mpyuu xio vizuri my tutafutane.Daaah tumefikia hatua hii?

3. Ongezeko kubwa la wanaume tegemezi,Ingia love connect,magroup ya WhatsApp na social media zinginezo,sio suala la ajabu kukuta kijana wa miaka 25+ akitafuta mmama wa kudate nae,kijana wa kiume katika umri wa miaka 25+ unashindwa kutumia nguvu na akili yako kutafuta Pesa mpaka inafika hatua unataka uolewe na mmama?Ni kawaida kuwakuta vijana saloon wakijiremba kwa kusuka rasta na kupiga gym wapate six pack ili wavutie wamama watu wazima...Aibu iliyoje?

4. Kuishi kwa njia za mkato,Badala ya kutafuta kazi uhakika na kueleweka,inashangaza kumuona mwanaume wa miraba minne akitapatapa kubet mechi za ulaya ili kujiingizia kipato,yaani bet inakuwa ajira ya mwanaume anayetakiwa kuitunza familia?

5. UNAFIKI,unakutana na mwanaume mwenzako analalamika ugumu wa maisha,unamshauri ajaribu kufanya biashara zinalipa,anaanza kulalamika ooh,sina uzoefu na pia biashara ni ngumu,lakini ni mwanaume huyo huyo anayezama chumvini na zizini kwa mwanamke wake,Ni UNAFIKI wa kiwango cha lami kwa mwanaume kusema huwezi kufanya biashara wakati unaweza kazama chumvini na topeni bila uoga,mwanaume unajua zaidi style za sex kuliko mbinu za kujiongezea kipato?

6. Kuwahi kuzeeka...Kijana wa miaka 25+ analalamika kuwa hawezi kurudia tendo la ndoa,huyu kazeeka kabla ya wakati wake.Mwanaume ni kichwa cha familia,lazima uweze kumhudumia mkeo/mchumba wako kisawasawa sio unakuwa legelege,utasaidiwa!

Ruksa kuongeza Ukweli unaouma
 
Reactions: Art
Waambie hao..... future husband teh!teh..
 
Inaumiza kuyaona na kuyasikia mambo yafuatayo yakifanywa na wanaume wa kizazi cha sasa hivi,Ni aibu na hayafai kabisa katika jamii zetu.1.Kushindwa kutunza siri,Kila mwanadamu ana matatizo na mapungufu yake ambayo kwa kiasi kikubwa hutakiwa kuyatatua kwa kina na umakini mkubwa,Lakini katika Siku za karibuni Imekuwa kawaida kuona ama kusikia mwanaume akieleza siri zake hadharani ama kwenye social media,Mara ooh Siku hizi Mke wangu ananinyima uchumba,Mara ooh Mke wangu ana kovu pajani,tumefikaje hapa?2.Charting zenye ukakasi,uko mahali umetulia ukiwaza mambo yako,ghafla unasikia Mlio wa SMS,ile unaifungua tu unakutana na.....Mambo vepee my?mfyuuu...xaxa mbona umenigaya?mpyuu xio vizuri my tutafutane.Daaah tumefikia hatua hii?3.Ongezeko kubwa la wanaume tegemezi,Ingia love connect,magroup ya WhatsApp na social media zinginezo,sio suala la ajabu kukuta kijana wa miaka 25+ akitafuta mmama wa kudate nae,kijana wa kiume katika umri wa miaka 25+ unashindwa kutumia nguvu na akili yako kutafuta Pesa mpaka inafika hatua unataka uolewe na mmama?Ni kawaida kuwakuta vijana saloon wakijiremba kwa kusuka rasta na kupiga gym wapate six pack ili wavutie wamama watu wazima...Aibu iliyoje?4.Kuishi kwa njia za mkato,Badala ya kutafuta kazi uhakika na kueleweka,inashangaza kumuona mwanaume wa miraba minne akitapatapa kubet mechi za ulaya ili kujiingizia kipato,yaani bet inakuwa ajira ya mwanaume anayetakiwa kuitunza familia?5.UNAFIKI,unakutana na mwanaume mwenzako analalamika ugumu wa maisha,unamshauri ajaribu kufanya biashara zinalipa,anaanza kulalamika ooh,sina uzoefu na pia biashara ni ngumu,lakini ni mwanaume huyo huyo anayezama chumvini na zizini kwa mwanamke wake,Ni UNAFIKI wa kiwango cha lami kwa mwanaume kusema huwezi kufanya biashara wakati unaweza kazama chumvini na topeni bila uoga,mwanaume unajua zaidi style za sex kuliko mbinu za kujiongezea kipato??6.Kuwahi kuzeeka...Kijana wa miaka 25+ analalamika kuwa hawezi kurudia tendo la ndoa,huyu kazeeka kabla ya wakati wake.Mwanaume ni kichwa cha familia,lazima uweze kumhudumia mkeo/mchumba wako kisawasawa sio unakuwa legelege,utasaidiwa!!.....Ruksa kuongeza Ukweli unaouma
 
Duh! Hongera mkuu kwa kusema ukweli ingawa ni ngumu kuupokea ukweli

 
Nionavyo mimi hili tatizo limeanzia mbali sio kwa vijana ila kwa wazazi. Tunalea vijana bila kufuata mila na desturi zetu. Kuna wazazi wanaowalea watoto wao km wapo america, kuna wanaowalea wtt wao kwa kuwaacha wajiamulie lolote mtoto anafanya atakavyo mzazi hakemei na wakati mwingine anapongeza. Mfano mtoto anarudi usiku na hukujua alipoenda wala mzazi haulizi mpka tabia inakomaa. Pengine ni umackini au utajiri wa wazazi na wenyewe waweza kuwa chanzo cha vijana kuharibika. Utandawazi hii ni sababu inayoweza kuchukua asilimia kubwa ya kuharibu vijana. Maana mzazi hata akijitahid vip mtoto akitoka nje akasombwa na wimbi la utandawazi malezi mema yote yanasombwa naye. Ukosefu wa ajira na mfumo mbovu wa sera mbalimbali za nchi na ulimwenguni pia. Biashara huria hapa kuna aina za madawa vyakula na mambo mengine yanayoweza hata kuathir nguvu za kiume. Ufisadi unafanya wazazi wawe masikini..familia masikini inaleta kukata tamaa mwisho vijana wanajiingiza kwenye matumiz ya madawa ya kulevya nk. nk. Hivyo mkuu hili tatizo ni pana sana kila mmoja pale alipo afanye yampasayo kwa faida ya wote.
 
Reactions: Art
Hivi kizazi hiki kina wanaume? ! Hata wenye familia wana jimama
 
Wanaume washaanza kuwa adimu, miaka kadhaa watapotea kabisa....
Na hizi social media ndo zimekuja kuwavuruga kabisa I miss those time when "men were men"
 
Hey even salt there are still many men on earth who can make a hapy life both in public and behind door
 
Weekend ikishafika ndo kunavyokuwa hivi
 
Kama wameyafungua maskio naamini watabadilika
 
kiukweli wanaume now days ni wachache balaaa... wamelegea legea pyuuuuuu
 
wanaume tumeumbwa mateso kuhangahika.

mambo yanabadilika kwa kasi ya ajabu sana.
 
Hivi kizazi hiki kina wanaume? ! Hata wenye familia wana jimama

Kweli nyani haoni kundule,
Hivi wanawake kizazi chenu mtajilinganisha na wa zamani kweli???

Give me a break!!!
Kizazi hiki chote kimeoza;that's a Fact shove it in your mouth.

Ukiona kijana yuko vibaya mtaani,
Hana ethics jua ni malezi mabaya aliyopata toka kwa mama yake.
That's that...
 

Imeku-uma eeh, ndo hivyo tena. Hatulingani na wa zamani maana wa zamani hawakuwa na hela zao.
 
Namba 7 Rudia kusoma namba tano

namba 8 rudia kusoma namba saba
 
the gifted ric

Wewe unashangaa nini?
This is not a thesis to brag about in the public.
First off, its not a balanced opinion.
Hivi kwenye jamii yetu huoni hata kama watoto wa kike nao wameharibika sana?
Kwanini limama kubwa litamani kutembea na mimi kijana?
 
Last edited by a moderator:
Imeku-uma eeh, ndo hivyo tena. Hatulingani na wa zamani maana wa zamani hawakuwa na hela zao.


Hela?WTF!
Is it even something to brag about in public.
Hela zilikuwepo tangu kipindi cha Yesu, sema wewe ndiyo umezipata saa hizi.
Pole sana.

Ila ukweli utabaki kuwa pale pale,
Kizazi hiki kimeoza siyo vijana wa kiume wala wa kike.

Kwanza ninyi mnaojiiita mna hela,
Ndiyo wengi wenu mnaongoza kuwa wazazi wabovu.
That's a fact..Swallow it!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…