Ukweli unauma ila huu hapa..!

Ukweli unauma ila huu hapa..!

Joined
Dec 24, 2016
Posts
33
Reaction score
28
Kumekuwa na mada mbalimbali zinazozungumzia usariti katika mapenzi/ndoa huku kila upande (Me/Ke) wakilaumu kuwa wenzi wao sio waaminifu.
Tukiachana na hilo kumekuwa na kundi la baadhi ya wanaume kuamini kwamba mwanamke aliyeolewa bikra huwa ni mtulivu kwenye ndoa!
Imefikia mpaka kwenye baadhi ya komment wanaume wanaojiita wameoa wanawake mabikra wanawasema wenzao waliooa wanawake used kuwa ni sawa na kuoa mke wa mtu eti wanawake hao huwa ni rahisi kuchepuka na bwana zao wa zamani.
Sasa kwa utafiti usio rasmi nilioamua kiufanya nimegundua wapo mabinti waliolewa bikra (tena zote mbili) lakini wanaongoza kwa kusariti waume zao maana wengine hutamani kuonja mboo mpya ili waone tofauti.
Kuna jamaa namfahamu ni family friend alioa binti ambaye inasemekana alikuwa hajaguswa lakini cha ajabu wameachana mwezi December baada ya jamaa kumfumania akipigwa "mti" na mdogo wake anayesoma UDSM
Tukio jingine kuna jamaa mmoja mzee wa kanisa mkewe naye aliolewa na mfuniko (bikra) lakini hivi sasa mke anagawa mbunye kama yote bila kujali ana mtoto mdogo ananyonyesha
mpaka kuna kipindi jamaa alisafiri kwenda kwenye mahubiri ya week 1 kuna jamaa alikuwa anazamia ndani na biblia mkononi anakula mzigo mchanamchana akimaliza wanazuga kama wanapiga maombi kisha msela anasepa!
Haya kuna huyu mdada wa Kiha ana duka la dawa pia inasemekana mmewe ndiye alimtoa bikra akampa na mimba ikabidi amuoe na mpaka sasa wana mtoto wa miaka 3 lakini dada huyu hanaga shida hata mimi huwa namchapa nao na mmewe hajagundua mpaka leo.!
My take; Usariti ni tabia na hulka ya mtu bila kujali dini, kabila, jinsia, ama kuolewa akiwa bikra.
Unaweza kukuta mdada alishapitiwa na wanaume wengi kiasi cha kujaza ndege kubwa kama ile iliyosafirisha mbuzi kwenda Dubai lakini ukashangaa akiolewa anakuwa na msimamo katika ndoa yake,
Lakini unaweza kukuta mdada amezaliwa na kulelewa kidini na akaolewa akiwa na bikra zote (mbele na nyuma) lakini cha ajabu akishaolewa anabadirika na kuwa kama mashine ya kijiji.!
Ni hayo tu kwa leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida unakuta mmewe alitoa bikra ya mbele tu akasahau kutoa na ya nyuma sasa vijana wa kitaa wakimkamata wanamkunja kisawasawa na kumbandua mfuniko wa nyuma!
Usitegemee atatulia tena.

Mkuu unahasira sana nawanawake waliotolewa bikra na waume zao!!MTU wa kwanza kulala naye ndiye mkeo au mumeo in accordance to Christian.
 
Back
Top Bottom