Binadamu ni kiumbe wa hovyo sana yaan
yupo tayari kukuombea mabaya wewe
anaekufahamu na kumuombea mafanikio
yule asiemfahamu.
Anapopatwa na shida anakuja kwako
umsaidie umsaidie kwakua anajua wazi
yule asiemfahamu hawezi kumsaidia
kwakua hamfahamu.
hebu tubadilikeni jamani maana hayo sio
maisha, muombee kila mtu kwakuwa hujui
kesho yako, acha roho mbaya maana haitakusaidia kitu.