Kwenye katiba zao umo mpaka ushoga, wazungu hawana maadiliKwa nini huwa tunapenda kudanganyana Waafrika?Hivi ni nani aliyewaambia mila za Wazungu ni ufuska/kuzini hovyo na mabalaa mengine.Mkae mtulie.Ina maana huko uzunguni hakuna wenye kufuata malezi,makuzi na staha njema maishani?Hayo mambo ya hovyohovyo ndiyo yamo kwenye katiba zao na wanazifuata au mnajitungia tu.Tuache uzushi.
Kwamba zinaeleza kila mwananchi ni lazima atekeleze ushoga?Kwenye katiba zao umo mpaka ushoga, wazungu hawana maadili
Zinasema ushoga ni kitu kizuri na haki ya binadamuKwamba zinaeleza kila mwananchi ni lazima atekeleze ushoga?
Wawalazimisha wautekeleze?Zinasema ushoga ni kitu kizuri na haki ya binadamu
Typical Tanzanian....akili kisoda.Zinasema ushoga ni kitu kizuri na haki ya binadamu
Pole, naona umeumia kuona tunaukataa ushoga wa mabeberu wanaofunga ndoa hizo mpaka makanisaniTypical Tanzanian....akili kisoda.
Wanalazimishwa kuwatambua na kuwapa haki zaoWawalazimisha wautekeleze?
Wanawalazimisha kufanya ushoga?Wanalazimishwa kuwatambua na kuwapa haki zao
Kuwatambua na kuwapa "haki"Wanawalazimisha kufanya ushoga?
Wanalazimishwa kufanya ushoga?Kuwatambua na kuwapa "haki"
Wee jamaa ndio umeshatutisa wana nini.Uzinzi ni nomaaa..
Maandiko yanasema : azinie hana akili na anafanya jambo la hatari kwa maisha yake
1 Wakorintho 6:18-20Wee jamaa ndio umeshatutisa wana nini.
Maana sikuelewi elewi siku hizi au umeokoka mwanetu
Katika Mithali 6:32 Biblia inasema “Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake”Wee jamaa ndio umeshatutisa wana nini.
Maana sikuelewi elewi siku hizi au umeokoka mwanetu
Umekuwa muhubiriKatika Mithali 6:32 Biblia inasema “Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake”
na pia katika Mithali 6:26 inasema “Maana kwa Malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani”
Sasa hivi nimekuwa muhubiri.. haya mambo ya dunia ni kujilisha tu upepo.. acha niisake mbingu na utukufu wa MunguUmekuwa muhubiri
Ngoja nijiunge nawe ila itabidi nitoke jf maana kuna warembo wananiongezea dhambi tuuSasa hivi nimekuwa muhubiri.. haya mambo ya dunia ni kujilisha tu upepo.. acha niisake mbingu na utukufu wa Mungu
Karibu sana mzabzab kumtumikia Mungu kuna faida sana.Ngoja nijiunge nawe