Ukweli ni kwamba Yanga wako tayari kwa gharama yoyote ili mradi wabadili viwalo

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,293
3,965
Tatizo hapa sio mdhamini. Tatizo ni viwalo.

Yanga wako tayari kutoa pesa zozote kuvunja mkataba ili wabadili viwalo.

Lile neno sport pesa limeshawachosha tu.Yanga ni kama mke tu wa manara hasikii la shehe wala muazini ( muadhin).

Hawa wanaojiita wafadhili ni ili mradi tu kuficha ficha mambo ila pesa zao wanazitoa kwenye wizi uliofanyika zamani.Kuna mihela mingi huko haina kazi.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Ndio maana Mangungu anawaendesha kama malofa
 
Back
Top Bottom