PostGE2025 Ukweli ni kwamba CHADEMA wameshinda uchaguzi Kwa kishindo dhidi ya CCM na vyama vilivyoshiriki uchaguzi hata CCM wenye akili wanajua Hilo wakiwa ndani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Gift mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2019
Posts
3,771
Reaction score
4,913
Ukiachana na asilimia 98 ya kupikwa idadi ya waliopiga kura ni wachache sana ukilinganisha na waliogoma kupiga kura.

Ni kweli wananchi wengi walikubaliana na hoja ya chadema kwamba kupiga kura ni kupoteza muda .

Kwa hiyo hoja Yao ya No reform no election ilishinda na wao wameshinda.

Pamoja na sauti zao kufungiwa gerezani kupitia viongozi wao lakini sauti zao zilipenya malango ya Gerezani na kuingia kwenye mioyo ya watanzania

Gharama walizotumia Ccm ni kubwa sana kwenye kampeni lakini matokea yake ni aibu ya kitaifa na kimataifa.

Ukishindwa kuwin mioyo ya watu utaongoza Kwa nguvu kubwa sana

Nafikiri Ccm kubalini mmekataliwa na watanzania sio wakenya kama mnavyodai

Kukataliwa ni jambo gumu sana , ila angalieni namna ya kustep down bila kuharibu nchi na taifa letu

Watanzania wamewakataa kwenye mioyoyo Yao na mnalijua Hilo ingawa mnajikaza

Watu wenye akili Ccm tengezeni namna ya kuchilia madaraka Kwa amani Ili mjipange upya kurudi kama chama upinzani imara

Matapata faida gani kuharibu hata Yale machache mazuri mliyoyafanya Kwa ajili ya Taifa na nchi yetu.

Kama mnajua na mko Kwa ajili ya nchi na Taifa mtanielewa

Lakini kama mko Kwa ajili ya Chama chenu na genge Fulani la watu hamyaelewa mtasubiri muondolewe Kwa aibu.
 
Ushawishi na kukubalika na watu ndio asset ya chama chochote. Kwenye hili indirectly chadema wamegain imani

While chama tawala wameporomoka kukubalika
Ni kweli mkuu
Kwa mioyoni ccm wanagugumia maumivu makali sana
 
Ukiachana na asilimia 98 ya kupikwa idadi ya waliopiga kura ni wachache sana ukilinganisha na waliogoma kupiga kura.

Ni kweli wananchi wengi walikubaliana na hoja ya chadema kwamba kupiga kura ni kupoteza muda .

Kwa hiyo hoja Yao ya No reform no election ilishinda na wao wameshinda.

Pamoja na sauti zao kufungiwa gerezani kupitia viongozi wao lakini sauti zao zilipenya malango ya Gerezani na kuingia kwenye mioyo ya watanzania

Gharama walizotumia Ccm ni kubwa sana kwenye kampeni lakini matokea yake ni aibu ya kitaifa na kimataifa.

Ukishindwa kuwin mioyo ya watu utaongoza Kwa nguvu kubwa sana

Nafikiri Ccm kubalini mmekataliwa na watanzania sio wakenya kama mnavyodai

Kukataliwa ni jambo gumu sana , ila angalieni namna ya kustep down bila kuharibu nchi na taifa letu

Watanzania wamewakataa kwenye mioyoyo Yao na mnalijua Hilo ingawa mnajikaza

Watu wenye akili Ccm tengezeni namna ya kuchilia madaraka Kwa amani Ili mjipange upya kurudi kama chama upinzani imara

Matapata faida gani kuharibu hata Yale machache mazuri mliyoyafanya Kwa ajili ya Taifa na nchi yetu.

Kama mnajua na mko Kwa ajili ya nchi na Taifa mtanielewa

Lakini kama mko Kwa ajili ya Chama chenu na genge Fulani la watu hamyaelewa mtasubiri muondolewe Kwa aibu.
Zito Kabwe amedhalilika sana
 
Msiba aliyeaminika chawa namba moja wa ccm katoa hoja yake ikiunga mkono CDM.Nadhani kuna haja ccm kusikiliza sauti za watu japo haziwapendezi
 
Back
Top Bottom