Ukweli ndani yako

Ingekuwa mimi baada ya kutoka hapo lazima ningezaa naye huyo mama, hiyo nayo ni humanity ya afrika na Tanzania
[emoji15][emoji15][emoji87][emoji87][emoji87][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Ubinadamu kazi na binadamu wamebaki wachache!
 
Akiba ya maneno kwa kumwambia mtu afuate uzaziwa mpango...huna uwezo unazaa watoto wengi wa nn


Sent using Jamii Forums mobile app

Sitetei ujinga wala kuzaa bila mpango lakini dunia ina mitihani ndugu yangu, kuna watu hawana mtoto hata mmoja lakini wanapitia hali ambayo wanatamani watoweke kabisa duniani.

Ukiona umebahatika juhudi zako zikazaa matunda na kuendelea kufanikiwa, endelea kuhakikisha hauanguki.
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji123]

Jr[emoji769]
 
maajabu aya, uyo ama ana cooker, ya plate kama nne ivi, friji na mazaga kadhaa kwenye iyo 'kicheni' yake, kaiba mayai 5 ?
 
maajabu aya, uyo ama ana cooker, ya plate kama nne ivi, friji na mazaga kadhaa kwenye iyo 'kicheni' yake, kaiba mayai 5 ?
Yeah siku hazifanani lakini pia kwa ulaya hivyo ni vitu vya kawaida sana... Kuna vingine unavikuta tayari ndani ya nyumba na vingine ni zawadi au msaada

Jr[emoji769]
 
Mshana hu Uzi uko poa nami nilijitilea nilipokuwa Buswelu kuna mama moja alikuwa na mtoto mdogo analia njaa bhana mama naye hajala haya maisha kweli mecco kaya haribu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si kila mwenye mabaka ni chuiView attachment 1008699

Jr[emoji769]
Kuna wakati hatupaswi kutumia sheria bali tunapaswa kutumia ubinadamu.... Je ni wangapi kati yetu wenye mamlaka na wasio na mamlaka wameitumia hii kanuni?
Naamini kwenye hili, Ubinadamu kwanza. Naamini jinsi unavyotenda ubinadamu ndivyo na wewe au watu wako wa karibu watavyotendewa.

Ukijifanya umenyooka sana hata kwenye mazingira unayohitaji ubinadamu kidogo lazima ikurudi wewe au watu wako wa karibu.

Utashangaa unafanya jambo/kosa dogo lakini linakugharimu sana hadi unashangaa kumbe ndio payback! Tuwe na ubinadamu ila haina maana uwe mjinga pia. Tafakari kabla hujachukua maamuzi yatayomuumiza mtu hasa kama haina athari kwako na jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…