UKWELI MTUPU

Nitajitahidi kwa juhudi zote kusaka nyuzi zao, naomba tu Ban isije kutokea.
Tumechoka kuvumilia hivi vivulana vinavyodhalilisha wanawake ambao ni mama zetu na dada zetu!

Sasa hivi mwendo ni makavu live, lazima wakimbie nyuzi zao za kipuuzi!
 
Nitajitahidi kwa juhudi zote kusaka nyuzi zao, naomba tu Ban isije kutokea.
Itabidi Mods wawe waungwana. Hii ni kampeni ya kurekebisha tabia.

[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mimi naamini wadada wa siku hizi 85% wanajiuza ila kuna tofauti ya kujiuza kuna yule anayejiuza kwa wanaume Tofauti Tofauti na kuna yule anayejiuza kwa mwanaume mmoja.

Maoni yenu wa Wadau
maoni yangu wewe usiwanunue
 
Mkuu kuna mama yako ujue
Hii huwa sio hoja, ni mhemko. Mtu kuwa changu hakumzuii kuwa mama. Kuna machangu wengi tu wana watoto. Ukweli kuhusu wanawake haujali Kama miongoni mwao ni kina mama. Halafu huyu kasema 85% maana yake bado kuna 15%

Tanbihi: Simaanishi mama wa mleta uzi ni Changi kwa kuwa simjui.

Ninavyoona: Sikubaliani na mtoa mada hadi atoe ushahidi.
 
Sijui katumia data zipi kusema hapo 85% maana no research no right to speak


Hahaha st kayumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…