kuna Gentleman wengi sana, sema maisha yanawapiga wanawake hawawataki kabisa.. na kuna wahuni wengi sana ila maisha yamewanyokea wanawake wanawagombania... pia kuna nice guy na maisha yamenyooka.. hao ndio wanawake wako tayari waende kwa mganga wawapate, na kuna bud guys na maisha yao mabovu.. kama mateja au panya road.. hao hata salamu ya wanawake hawaipati..
wanawake ukiwa na source ya income ya uhakika.. kwamba yeye na watoto atakaowazaaa watakula bata.. hapo uwe bad guy au nice guy... watakupenda tu
Sasa ole wako uwe bad guy halafu hela huna.. maisha hayaeleweki,,,, hata salamu zao uzipati..
Kwahiyo mleta mada hayuko sahihi, right?wapo nice guys na wana security.. yaani mpunga wanao wa kutosha kumtunza mwanamke na watoto atakaowazaa.. kwa uhakika
Kwahiyo ushauri wako tuwe bad guys lakini tuwe na hela....
Wewe ni bad au nice guy?Hivi majuzi tu nimetafuna demu ambae msela wangu anamfili sana na amekua akimzungusha sana jamaa huyo demu. Ila mimi ndani ya siku 2 nimebamiza chochoroni nimepiga pipe. Msela namuonea huruma lakini acha nimtilie adabu.
Kwahiyo mleta mada hayuko sahihi, right?
Kwahiyo ishu sio tena "nice guy" bali "security"?Mmmh babu umezeeka. Amesema mwanamke anachotaka security iwe ni nice au bad guy. Na wewe umeuliza nini tena?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sijui babu nilikuwa nakuelewesha kwa mujibu FRESHMANKwahiyo ishu sio tena "nice guy" bali "security"?
Wewe ni bad au nice guy?
Hapo naunga mkono hoja 100%ndio hayupo sahihi.. alipaswa kusema wanawake wanapenda mwanaume mwenye security
Ok....Sijui nipo wapi, Lakini nakwenda nao wanavotaka tu. wanawake ukiwachukulia ubinaadamu sana wanaweza kukuuwa. Wachukulie kama chakula tu unachokiwinda.
A right man is rational and a nice guy is just emotionalHebu weka tofauti zao hapo tuone.... who is a right man? And who is a nice guy? Na utuambie ni kwanini nice guy hawezi kuwa right guy. Then unishauri niache kuwa nice guy ili niwe right man.
[emoji126][emoji126][emoji126]Wanawake wanahitaji kufukunyuliwa kwa sana, ukiwa nice boy arafu unafukunyua kizembe, huo u nice boy wako ni sawa na uwe na upala arafu hauna pesa wala elimu[emoji23][emoji23][emoji23]To them a nice guy means a foolish guy.
# Stop being a nice guy cause she think ur a fool.
# The best thing a woman can do to a nice guy is to put him in a friend zone because women think that " The only good thing about a nice guy is that they are ' just nice' and nothing more.
# Stop being a nice guy.
Source : A book " No more Mr nice guy"
UPDATE:
# Nice guys ate not nice to themselves.
# They are a kind of guys who dont take care of their own biological children but play a very nice step daddies.
Gbam.[emoji126][emoji126][emoji126]Wanawake wanahitaji kufukunyuliwa kwa sana, ukiwa nice boy arafu unafukunyua kizembe, huo u nice boy wako ni sawa na uwe na upala arafu hauna pesa wala elimu[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kiswahili unaweza kuwa unamaabisha nini?A right man is rational and a nice guy is just emotional
Oh...ok.Right guy anaishi na mwanamke kwa kutumia akili kama ilivyo elekezwa kwenye maandiko matakatifu but Nice guy anaishi na mwanamke kwa kuongozwa na mihemko
To them a nice guy means a foolish guy.
# Stop being a nice guy cause she think ur a fool.
# The best thing a woman can do to a nice guy is to put him in a friend zone because women think that " The only good thing about a nice guy is that they are ' just nice' and nothing more.
# Stop being a nice guy.
Source : A book " No more Mr nice guy"
UPDATE:
# Nice guys ate not nice to themselves.
# They are a kind of guys who dont take care of their own biological children but play a very nice step daddies.
Hahahahah dahngoja nikusaidie kuhesabu like ingawa mpaka muda huu bilabila