To them a nice guy means a foolish guy.
# Stop being a nice guy cause she think ur a fool.
# The best thing a woman can do to a nice guy is to put him in a friend zone because women think that " The only good thing about a nice guy is that they are ' just nice' and nothing more.
# Stop being a nice guy.
Source : A book " No more Mr nice guy"
Mi ni nice guy. Na napendwa na wanawake wengi sana. Hapa JF panaweza kuniwekea ushahidi.
Wanawake wa JF mnaonipenda hebu ningongeeni LIKE ili niendelee kuwa nice guy...
Dah sijui kama nitafanikiwa kwenye hii vita. Naiona kama vita vya korosho
Wanaume nawashauri kuweni nice ili mpendwe na wanawale
MORAL: Niko kwenye debate. Napinga hoja. Naamini wanawake wengi wanapenda Nice guys. Be nice meeeeeen!
You are actually proposing my motion. They like u as a friendMi ni nice guy. Na napendwa na wanawake wengi sana. Hapa JF panaweza kuniwekea ushahidi.
Wanawake wa JF mnaonipenda hebu ningongeeni LIKE ili niendelee kuwa nice guy...
Dah sijui kama nitafanikiwa kwenye hii vita. Naiona kama vita vya korosho
Wanaume nawashauri kuweni nice ili mpendwe na wanawale
MORAL: Niko kwenye debate. Napinga hoja. Naamini wanawake wengi wanapenda Nice guys. Be nice meeeeeen!
Na hapo ndipo napopataka sasa. Sipendi wanipende kama enemy. Mi sio adui wa wanawake. I like and love them all. Naanzia kwa mama yangu...You are actually proposing my motion. They like u as a friend
Kula tano mkuuWanawake wanachohitaji ni security.. wakijua kwako kuna security watakupenda tu uwe bad guy au uwe nice guy..
unataka kusema Mzee mengi au Luca wa Nancy sumari ni Bad guy?
Hebu weka tofauti zao hapo tuone.... who is a right man? And who is a nice guy? Na utuambie ni kwanini nice guy hawezi kuwa right guy. Then unishauri niache kuwa nice guy ili niwe right man.Tukiwa nice guys mnatuonaga mafala. We just need to be right and not nice
Na security haiwezi kutolewa na nice guy??Wanawake wanachohitaji ni security.. wakijua kwako kuna security watakupenda tu uwe bad guy au uwe nice guy..
unataka kusema Mzee mengi au Luca wa Nancy sumari ni Bad guy?
Kula tano mkuu
Nenda kwenye bar yoyote and tell the waiter to give u one bottle of wine and two females halafu anipe talaka ( bili) nta clear
Na security haiwezi kutolewa na nice guy??
Mmmh babu umezeeka. Amesema mwanamke anachotaka security iwe ni nice au bad guy. Na wewe umeuliza nini tena?Na security haiwezi kutolewa na nice guy??
Kwahiyo ushauri wako tuwe bad guys lakini tuwe na hela....kuna Gentleman wengi sana, sema maisha yanawapiga wanawake hawawataki kabisa.. na kuna wahuni wengi sana ila maisha yamewanyokea wanawake wanawagombania... pia kuna nice guy na maisha yamenyooka.. hao ndio wanawake wako tayari waende kwa mganga wawapate, na kuna bud guys na maisha yao mabovu.. kama mateja au panya road.. hao hata salamu ya wanawake hawaipati..
wanawake ukiwa na source ya income ya uhakika.. kwamba yeye na watoto atakaowazaaa watakula bata.. hapo uwe bad guy au nice guy... watakupenda tu
Sasa ole wako uwe bad guy halafu hela huna.. maisha hayaeleweki,,,, hata salamu zao uzipati..