Point yako haina mashiko dodoma na mwanza wapi ndio target ya maana kwa media? Jibu ni mwanza hata media za dsm zinaiangalia mwanza kwa jicho la tatu, kilichoifanya ile media ianze kuzorota ni UCCM mwingi watu wamechoka sasa hivi kwa TV wanaangalia wasafi na ITV kwa wingi kwa radio ni clouds, jembe ni jembe, Efm nukta zingine hazina waskilizaji wengi NB:ni kwa mwanzaImechoka sana hiyo redio. Tanzania kungekuwa na utaratibu wa mercy killing, wangeifanyia iache kuteseka. Kuna kipindi unakuta leo ipo hewani kesho haipo.
Kiss nayo ipo hoi, starTV nayo choka maana nilikuwa naangalia app za Tv Tanzania. Azam na ITV ziko juu sana. StarTV wako level za TBC.
Huyo jamaa nashauri ahamishe makao ya media zake apeleke eneo la tukio, Dodoma, maana location nayo ni muhimu sana.
Biashara ya redio ni matangazo.Kwasasa makampuni mengi yatahamishia makao Dodoma. Pia mambo mengi yatafanyika Dodoma ni rahisi kuyacover wakiwa huko.Kingine ni kuwa ni rahisi watu kuheshimu na kusikiliza radio inayotokea makao makuu. Ukiwa Dodoma ni rahisi kupata mahojiano na watu influencial kiurahisi. Siasa pia imechangia, ila akihama huko alikojichimbia anaweza kuinuka.Point yako haina mashiko dodoma na mwanza wapi ndio target ya maana kwa media? Jibu ni mwanza hata media za dsm zinaiangalia mwanza kwa jicho la tatu, kilichoifanya ile media ianze kuzorota ni UCCM mwingi watu wamechoka sasa hivi kwa TV wanaangalia wasafi na ITV kwa wingi kwa radio ni clouds, jembe ni jembe, Efm nukta zingine hazina waskilizaji wengi NB:ni kwa mwanza
Kwa location mzee hamna tatizo Mwanza ni mji mkubwa sana tu na unamatukio kibao nadhani waliowahi fika Mwanza na wakazunguka watakubaliana na mimi, tatizo la Sahara media nahisi lipo kwenye management yao na hili ni tatizo kubwa kwa mashirika binafsi ya humu nchini, yanapenda kujiendesha kiujanja ujanja na wanatoa maslahi kiduchu kwa waajiriwa huku wamilik wakijibaraguza kwamba wametoa ajira.Imechoka sana hiyo redio. Tanzania kungekuwa na utaratibu wa mercy killing, wangeifanyia iache kuteseka. Kuna kipindi unakuta leo ipo hewani kesho haipo.
Kiss nayo ipo hoi, starTV nayo choka maana nilikuwa naangalia app za Tv Tanzania. Azam na ITV ziko juu sana. StarTV wako level za TBC.
Huyo jamaa nashauri ahamishe makao ya media zake apeleke eneo la tukio, Dodoma, maana location nayo ni muhimu sana.
sio kweli mkuu!!radio ngapi zipo dar na bado zimeshindwa kutoboa?radio free africa ndio ilikuwa radio pendwa sana kanda ya ziwa na ukanda wote wa maziwa makuu,tatizo kubwa ni uongozi kuingiza siasa moja kwa moja na ukata ,kwani kwnye kuhamia kwenye digital jamaa alikopa pesa nyingi sana na kuzirudisha imekuwa shida,mala kodi!!!hivyo kushindwa kuajiri watangazaji wenye ubunifu ndio kimeifikisha hapo ilipo!!hata ukiangalia startv nako ni hivyo hivyo tu,mfano kwa dar kuna chanel ten hata huwa siilewi kabisa ni ya miaka mingi sana lakini ubunifu daaa!!!Biashara ya redio ni matangazo.Kwasasa makampuni mengi yatahamishia makao Dodoma. Pia mambo mengi yatafanyika Dodoma ni rahisi kuyacover wakiwa huko.Kingine ni kuwa ni rahisi watu kuheshimu na kusikiliza radio inayotokea makao makuu. Ukiwa Dodoma ni rahisi kupata mahojiano na watu influencial kiurahisi. Siasa pia imechangia, ila akihama huko alikojichimbia anaweza kuinuka.
Mkuu radio free inasikika kila kona ya nchi tofauti na kina efm. Wanatakiwa kuwa na habari za kinchi. Siasa ni kweli imechangia kuiua lakini waangalie hilo suala la location mi naona kama linaimpact kubwa.sio kweli mkuu!!radio ngapi zipo dar na bado zimeshindwa kutoboa?radio free africa ndio ilikuwa radio pendwa sana kanda ya ziwa na ukanda wote wa maziwa makuu,tatizo kubwa ni uongozi kuingiza siasa moja kwa moja na ukata ,kwani kwnye kuhamia kwenye digital jamaa alikopa pesa nyingi sana na kuzirudisha imekuwa shida,mala kodi!!!hivyo kushindwa kuajiri watangazaji wenye ubunifu ndio kimeifikisha hapo ilipo!!hata ukiangalia startv nako ni hivyo hivyo tu,mfano kwa dar kuna chanel ten hata huwa siilewi kabisa ni ya miaka mingi sana lakini ubunifu daaa!!!