Niliwahi kuushauri upinzani hasa UKAWA kuwa, serikali ya awamu hii siyo ya kupambana nayo barabarani kwa maandamano au mikutano ya hadhara, wataumia, wapambane nayo MAHAKAMANI na BUNGENI. Nashukuru kwa hilo ni kama waliupokea ushauri wangu na umeanza kuzaa matunda.
Leo tena najitokeza kushauri kuwa, mgombea urais wa 2020 upande wa upinzani (UKAWA) asiwe Mh Edward Ngoyai Lowassa.
Lowassa ni strategic mzuri, known figure, ana uwezo, na wapenzi wengi, kwa sababu hiyo nashauri awe kwenye kikosi cha kampeni kitakachomuombea kura mgombea wa urais lakini sio yeye kugombea, tumshukuru alivyotusaidia 2015 tumuache apumzike. Nina sababu.
Nafikiri leo EL ana 62 by that time atakuwa na almost 66 plus ukiongeza na afya yake sidhani kama atamudu mikikimikiki ya kampeni na kuzunguka nchi nzima.
Pili, ni ukweli usiopingika kuwa Lowassa ana makando kando mengi ingawa hayajathibitishwa lakini anayo, kwa hiyo wapinzani (CCM) wataendelea kuutumia udhaifu huo kama walivyoutumia uchaguzi uliopita na kuuweka upinzani mudawote kwenye defensive side badala ya kueleza sera.
Lowassa hana uwezo wa kulitawala jukwaa kwa speech, hamasa, na muda wa kuongea na wapiga kura, unaweza kuwa strategic mzuri ukawa huna convincing power jukwaani.
Mwisho, tukubali tusikubali Lowassa ni mgonjwa na ugonjwa alionao unapunguza uwezo wa akili kufanyakazi vizuri, kwa hiyo kumuongezea mzigo mwingine wa majukumu makubwa ya urais ni hatari kwake binafsi na kwa taifa.
Wapinzani (UKAWA) wana wanachama wengi na vijana wengi wenye uwezo, watafutwe angalau candidates wawili au watatu wawe groomed hata kwa siri, wajipitishe kwa wananchi wawajue mapema kuliko kusubiri dakika za mwisho ndio wajulikane. Tusirudie tena kosa la kupokea mgombea wa CCM kupitia UKAWA kama tulivyofanya kipindi kilichopita.
Upinzani ukifanya hivyo una nafasi kubwa ya kushinda kutokana na hali ya maisha kwa ujumla ilivyo.
Ni mimi mpenzi, shabiki kindakindaki wa upinzani asiye na chama.
Quinine.