Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Kutokana na makandokando mengi waliyonayo asilimia kubwa ya wanachama wa CCM wanahofu na ujio wa JPM kama mwenyekiti wa chama. Ilizoeleka kuwa ila ufanikiwe kwenye mambo yako ya sirini lazima ujiungamishe na CCM, kwa mfumo huu wengi walijiingiza chamani si kwa kuwa na mapenzi ya dhati ya chama bali kulinda maslahi yao.
Sasa hivi ni kama wanajiuliza huu akipewa unyekiti itakuwaje? Tunaona katika serikali yake kaanza kuwafurusha wazee kabaki na vijana, je wao watapona?
Kwa mtazamo wangu nahisi jamaa watakuwa wanaomba kila mtu kwa imani yake, mwenyekiti aruhusu kura ya siri ili wamchinjie baharini