Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,213
Nimefurahi sana kuona mada hii hapa jukwani...
Hawa jana niwaongo hatari...wameanzia Mwanza. walikua na ofisi maeneo ya U-turn .utalipa elfu 30,000 watakupa kimtia nyanya...wengi watafail wachache watapass...badae waliopass watapewa mkataba kujaza na badae watapewa ID. wataambia training watakua wanaita kwa butch..na hapo ndo mchezo kwisha..friends zangu watatu ilikula kwao jamaa wakafunga ofisi wakaenda kula raha sasa wamerudi. wewe kazi gani mpaka ulipie kwanza?
Kama kuna mtu atapata kazi hapo naomba nipigwe BAN ya maisha na kesi ya kuujumu uchumi ifunguliwe dhidi yangu... za mbayuwayu changanya na zako