You are totally right. Kijana wangu alimaliza degree ya kwanza,akakuta nimemwanzishia mradi wa ufugaji. Alinuna mwanzoni tukawa hatusemeshani,sasa amenielewa baada ya kumkazania ns matunda kuyaona. Hataki kusikia neno kuajiriwa anapojipima na walioajiriwa.