Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
Hahaha sawa mkuu!!! Si unajua tumeharibiwa na white color jobsNimeipenda namba 4!
Haswaaaa mkuu!!!!Biblia inasema fedha huleta jawabu la mambo yote..
Muhubiri 10:19c
Hakuna msomi anayeweza kufanya kazi kwa laki 5. Huyo sio msomi na mtu aliyepita tu shule. Msomi ni nani? Ni mtu aliyejikomboa kifkra. Huyu anajua thamani yake. Tofautisha wasomi na watu wenye vyeti vya chuo. Hope umenielewaHabari Wakuu!!!
Jamani sio utafiti rasmi Bali ni maoni binafsi:
Katika dunia tuliyopo fedha ndio jawabu la Kila Hitaji, ukiwa popote duniani hapa utahitaji kutumia fedha, unaweza kubadilishiwa majina Ila maana ikabaki pale pale:
Tuangalie pesa katika maeneo mbalimbali ilivyobadilishwa jina
Nyumba za Ibada=Sadaka,zaka na fungu la kumi
Kwa wakwe = mahari
Msibani = lambilambi
Hongo = rushwa
Daladala= Nauli unaweza ongeza maana zingine, kama Ada n.k
Kwa kuwa pesa ndio kitu pekee kinachohitajika saana Basi ni lazima Kila mtu ajue namna ya kuitafuta saana na hii itawezekana ikiwa hautategemea chanzo kimoja cha kipato, wekeza kila upatapo fursa!!!
Twende tuangalie sababu WASOMI kuwa Masikini, na hii ni kwa sababu ukiangalia matajiri wakubwa Tz Sio wasomi saana, lakini hata duniani utagundua Sio kwamba Wasomi....
1:Wasomi wengi WAOGA
Hawawezi kutake risk katika Kuwekeza
2:Wasomi wengi vyuoni wanafundishwa kuajiliwa na Sio kujiajiri..
Kila msomi anatarajia kapata kazi nzuri baada ya kuhitimu,so asipopata ajira maana yake imekula kwake
3:Wasomi wengi wanajua jinsi ya kutumia pesa na Sio kutafuta::na hii ni kwa sababu wanauelewa WA mambo mbalimbali kwa mfano:technolojia,mitindo n.k
4:Kujiinua/kiburi
Wanachagua kazi Au uwekezaji, fursa nyingi Za watu walisoma wanataka zilizo mijini,vijijini Hawataki coz wataonekana hawajasoma!!! Mtu yupo radhi aishi dar bila kazi kuliko kwenda kijijini kufanya kazi.
5:Watumwa
Wasomi wengi wameajiliwa na kuwa watumwa!na hii ni kwa SABABU ukiajiliwa maana yake masaa Au muda wako wote utaishia kwa mwajiri hivyo hatokua na muda wa kufanya shughuli Za ziada kama unalipwa Iaki 5 maana yake kwa Siku unalipwa elf 17000
Swali linakuja katika hiyo laki 5 utakula sh ngapi, kodi, watototo, michango,nauli ya kazini,maji,umeme n.k
Kwa mshahara huo maisha tutaenda!? So Ili ujenge Au ununue gari unahitaji kuwa mtu wakukopa bank!!na ukiwa huna nidhamu ya pesa unaweza kuta hata chakula unakopa ikifika mwisho wa mwezi mshahara wote unalipa madeni.
Mwisho:Kwa kuwa ajira huwa haitoi mshahara unaomvutia mwajiriwa-msomi Basi ajira imemfanya msomi kuwa na akili ya kujiongeza kwa kuwa mtu wa rushwa Au mpigaji WA Mali za uma..ili maisha yaende.....
Ikiwa wewe ni msomi change your mindset...anza kufikiri nje ya box toka kwenye box La ajira tuuuuuuuuuuuu..
Kinga kingdom
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Huo ni mfano WA malipo kakaHakuna msomi anayeweza kufanya kazi kwa laki 5. Huyo sio msomi na mtu aliyepita tu shule. Msomi ni nani? Ni mtu aliyejikomboa kifkra. Huyu anajua thamani yake. Tofautisha wasomi na watu wenye vyeti vya chuo. Hope umenielewa
You are totally right. Kijana wangu alimaliza degree ya kwanza,akakuta nimemwanzishia mradi wa ufugaji. Alinuna mwanzoni tukawa hatusemeshani,sasa amenielewa baada ya kumkazania ns matunda kuyaona. Hataki kusikia neno kuajiriwa anapojipima na walioajiriwa.Habari Wakuu!!!
Jamani sio utafiti rasmi Bali ni maoni binafsi:
Katika dunia tuliyopo fedha ndio jawabu la Kila Hitaji, ukiwa popote duniani hapa utahitaji kutumia fedha, unaweza kubadilishiwa majina Ila maana ikabaki pale pale:
Tuangalie pesa katika maeneo mbalimbali ilivyobadilishwa jina
Nyumba za Ibada=Sadaka,zaka na fungu la kumi
Kwa wakwe = mahari
Msibani = lambilambi
Hongo = rushwa
Daladala= Nauli unaweza ongeza maana zingine, kama Ada n.k
Kwa kuwa pesa ndio kitu pekee kinachohitajika saana Basi ni lazima Kila mtu ajue namna ya kuitafuta saana na hii itawezekana ikiwa hautategemea chanzo kimoja cha kipato, wekeza kila upatapo fursa!!!
Twende tuangalie sababu WASOMI kuwa Masikini, na hii ni kwa sababu ukiangalia matajiri wakubwa Tz Sio wasomi saana, lakini hata duniani utagundua Sio kwamba Wasomi....
1:Wasomi wengi WAOGA
Hawawezi kutake risk katika Kuwekeza
2:Wasomi wengi vyuoni wanafundishwa kuajiliwa na Sio kujiajiri..
Kila msomi anatarajia kapata kazi nzuri baada ya kuhitimu,so asipopata ajira maana yake imekula kwake
3:Wasomi wengi wanajua jinsi ya kutumia pesa na Sio kutafuta::na hii ni kwa sababu wanauelewa WA mambo mbalimbali kwa mfano:technolojia,mitindo n.k
4:Kujiinua/kiburi
Wanachagua kazi Au uwekezaji, fursa nyingi Za watu walisoma wanataka zilizo mijini,vijijini Hawataki coz wataonekana hawajasoma!!! Mtu yupo radhi aishi dar bila kazi kuliko kwenda kijijini kufanya kazi.
5:Watumwa
Wasomi wengi wameajiliwa na kuwa watumwa!na hii ni kwa SABABU ukiajiliwa maana yake masaa Au muda wako wote utaishia kwa mwajiri hivyo hatokua na muda wa kufanya shughuli Za ziada kama unalipwa Iaki 5 maana yake kwa Siku unalipwa elf 17000
Swali linakuja katika hiyo laki 5 utakula sh ngapi, kodi, watototo, michango,nauli ya kazini,maji,umeme n.k
Kwa mshahara huo maisha tutaenda!? So Ili ujenge Au ununue gari unahitaji kuwa mtu wakukopa bank!!na ukiwa huna nidhamu ya pesa unaweza kuta hata chakula unakopa ikifika mwisho wa mwezi mshahara wote unalipa madeni.
Mwisho:Kwa kuwa ajira huwa haitoi mshahara unaomvutia mwajiriwa-msomi Basi ajira imemfanya msomi kuwa na akili ya kujiongeza kwa kuwa mtu wa rushwa Au mpigaji WA Mali za uma..ili maisha yaende.....
Ikiwa wewe ni msomi change your mindset...anza kufikiri nje ya box toka kwenye box La ajira tuuuuuuuuuuuu..
Kinga kingdom
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Box(ualimu,udakitari,uinjinia nk 100%salary dependant). Nje ya box( kilimo,ufugaji,biashara ya duka,consultancy works.note:baada ya muda wa kazi rasmi)Huko kutoka nje ya box unatokaje
kumbe eeBox(ualimu,udakitari,uinjinia nk 100%salary dependant). Nje ya box( kilimo,ufugaji,biashara ya duka,consultancy works.note:baada ya muda wa kazi rasmi)