UKWELI KUHUSU WANAWAKE

UKWELI KUHUSU WANAWAKE

Nihzrath

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
51
Reaction score
116
Ukweli ni kuwa;

Kadiri unamvyompenda sana mwanamke ,ndivyo unavyokaribia kumpoteza.

Wanawake kiujumla wanavutiwa na wanaume walio wababe, wenye misimamo na wasiojali sana. Wanawake hawapendi wanaume wapole sana.

Ukimsikiliza sana anachokitaka....Mwanamke anakudharau. Wanasema wanapenda maneno matamu kutoka kinywani mwa mwanaume lakini ukweli sio wanavyomaanisha.

Kiujumla...wanawake wanapenda vitu ambavyo wao hawana.

Naomba nikupe wosia kuhusu wanawake....mwanamke anapenda shuruba kiasi, kunyanyaswa kidogo katika mapenzi. Sisemi usiwe romantic...bali kuwa kwa kiasi. Usipende kumsikiliza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili kutekeleza maagizo yako ntaanza kushusha mabanzi kwa shemeji yako

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
 
Hutakiwi kutumia nguvu,unatakiwa utatue changamoto zake hapo utafurahia uhusiano.
 
Ili kutekeleza maagizo yako ntaanza kushusha mabanzi kwa shemeji yako

Siyakudumisa Nkosi Yezulu
Hao ni delicate hawatakiwi kupigwa,hata mkipishana kauli..ndio maana hata uko ulimwenguni ukionekana umempiga mwanamke,adhabu yake sio mchezo.
 
Ukweli ni kuwa;

Kadiri unamvyompenda sana mwanamke ,ndivyo unavyokaribia kumpoteza.

Wanawake kiujumla wanavutiwa na wanaume walio wababe, wenye misimamo na wasiojali sana. Wanawake hawapendi wanaume wapole sana.

Ukimsikiliza sana anachokitaka....Mwanamke anakudharau. Wanasema wanapenda maneno matamu kutoka kinywani mwa mwanaume lakini ukweli sio wanavyomaanisha.

Kiujumla...wanawake wanapenda vitu ambavyo wao hawana.

Naomba nikupe wosia kuhusu wanawake....mwanamke anapenda shuruba kiasi, kunyanyaswa kidogo katika mapenzi. Sisemi usiwe romantic...bali kuwa kwa kiasi. Usipende kumsikiliza sana.
 
Kwahiyo unamaanisha nimtie vichwa vya kutosha tu akizingua?
 
Nadhani watu wanashindw kutofautisha kati ya ubabe na kujiamini nahisi mwanamke anampenda mwanume mwnye kujiamini na mwenye uhakika na kile kila mwanaume anachokifanya kuhusu mwanamke
 
Dah hiki kitu umesema cha kwel na hata mie nimekithibitisha kwa madem zang karibu wote.... yaan umekuna penye upeeele kabisa mkuu

Sent using IPhone X
 
Ukweli ni kuwa;

Kadiri unamvyompenda sana mwanamke ,ndivyo unavyokaribia kumpoteza.

Wanawake kiujumla wanavutiwa na wanaume walio wababe, wenye misimamo na wasiojali sana. Wanawake hawapendi wanaume wapole sana.

Ukimsikiliza sana anachokitaka....Mwanamke anakudharau. Wanasema wanapenda maneno matamu kutoka kinywani mwa mwanaume lakini ukweli sio wanavyomaanisha.

Kiujumla...wanawake wanapenda vitu ambavyo wao hawana.

Naomba nikupe wosia kuhusu wanawake....mwanamke anapenda shuruba kiasi, kunyanyaswa kidogo katika mapenzi. Sisemi usiwe romantic...bali kuwa kwa kiasi. Usipende kumsikiliza sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja zako kwa asilimia miamoja (100%)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom