Kweli mwanamke jobless mfano unataka tu kupiga kateroro yako usimpe hela kweli hiyo haipo mwanamke kupewa hela iyo muhimu sana hasa hasa ukiwa mjini kuna nauli kuna nguo vitu kibao. Tu so we umwambie hunapesa yeye unataka aku eleweje bora umwache tu no money no service.
So usione tabu we men kutoa pesa. Kwa mwanamke wengine ukiwapa hela nyota hufunguka ahse.
Mnao penda vya bure waleni madada zenu au mahausigirl.
Uwi uwi kaabang.
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-sauzi mwambie una ukimwi,
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-marekani mwambie una cancer,
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-china mwambie una sars,
na ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-bongo mwambie huna hela.
Ni kweli?
ahahaha...huko juu koote nimecheka ila hapo mwisho kwenye mwanamke wa kibongo mie nilijuwa umwambie "una govi"...mie wananikimbia sana kisa nimegoma kudondosha mkono-sweta.
Sio wote, Mi wangu hajali. Huwa napigika kishenzi lakini yumo. Tena akijua sina hela ananitafuta kila nusu saa kwa sababu anajua nampotezeaga kwa muda. Si unajua inferiority complex tena. Ananitafuta na ananitoa kimtindo.