Ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-sauzi mwambie una ukimwi,
Ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-marekani mwambie una cancer,
ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-china mwambie una sars,
na ukitaka kumtisha mwanamke wa ki-bongo mwambie huna HELA.
Ni kweli?

sio kweli kwani hapa hapa bongo masikini wanaona na hadi ombaomba wa mtaani nao wanaoa kila siku. kila mwanaume ana hadhi ya mwanamke fulani. tatizo la wanaume wachache wanawafuata wanawake wasio wa hadhi yao hivyo kujikuta wanalazimika kuingia mifukoni hata bila hiyari yao.