Heshima kwenu sisters and young ladies..
Nimeguswa sana na thread ya sister hapo juu aliyetoswa na jamaa yake kisa mama yake hataki kabila lake..
Na kuna mwingine leo leo nae analalamika jamaa yake amempotezea japokuwa nimemzingua jamaa yupo busy na mawazo ya gesi ya mtwara ila ukweli zimeniuma sana hizi thread nikiziweka kiuhalisia..
Dada zangu naomba mjue kitu kimoja kila mwanaume ana mjanja wake hata awe na nguvu na roho mbaya kama hitler lakini kuna mwanamke akimuona nguvu na ujanja wote kushney,, please wadada ni bora mara 100 ujifosi upendo wako uje kwa mwanaume ambaye wewe ndio mjanja wake hata kama anakuliza lakini na wewe uwe na uwezo wa kumliza,,, ukiona mdada umemliza mwanaume kiukweli kisa drama zako please badilika tulia uolewe zako nae no matter wote maana kumpata mwanaume wa aina hiyo tena ni ngumu sana...
Sio utani kuna jamaa nimesoma nae secondary nowdays ni assistant custom officer wa TRA yuko pale AMI alikuwa anajifanya mjanja sana kwa wanawake na katika kumfaham kote sikuwahi kufikiri kama jamaa atakuja kuoa maana alikuwa playboy na hana upendo kabisa...
Juzi kati ametokwa na machozi tupo kwenye review classes pindi limechanganya watu tukajua ana msiba ametolewa nje anabembelezwa nini kimetokea anakataa baada ya kubanwa sana anaeleza kuwa girlfriend wake called Monica anasoma Duce tena second year hamtaki... Ikabidi washkaji wafanye uungwana wa kumtafuta yule dada kumueleza vipi mbona unazingua dada anacheka cheka tu eti namtania tu mi nampenda sana huyu ndo mume wangu mtarajiwa maana hata yeye ananiliza sana kwa ujinga wake,, j
Baadae nilikaa nikakumbuka na kuwaza nikagundua Mapenzi ni mabaya sana yaani oficer wa TRA uliyezaliwa na kukulia town Sea view unalizwa na Mtoto wa second year DUCE tena anaetoka Singida hata posta haijui vizuri...
NIKAKUBALI KWELI MAPENZI HAYANA MJANJA.
Sasa wadada just ushauri tu pale mnapopendwa jitahidini na nyinyi mpende msinganganie wakina MAZABZAB wazee wa migegedo
Mmmm ndio umekuja kutufundisha hivo leo?
Huyo rafiki yako alikuwa ni muuni tu au alikuwa hajampata anae mpenda au wa kufit nae.
Faham %99 ya viumbe wanao grow up town wamegrow upo huku wakishuhudia uhuni na umalaya.
Hivo wengi wao wamepinda. Hawakuweza kunyoosheka kiakili kutokana na mazingira.
Na wanajifanya wajanja na wajuaji, lakini kiakili na busara ni zero, wa kijijini wanaongoza kujengeka vizuri kiakili.
Na %90 ya walio grow upo town hawa oi wala kuolewa, na wakioa ama kuolewa hawawezi kudumu katika ndoa.
Kuna wanawake wanajifanya high class, hapo lazma mzazi umshauri mwanawake akaoe kwao, anaona anapotezwa.
Na kuna wanaume wa town ni wauni sana walaghai na matapeli, kwaiyo lazma tuangalie na upande wa pili.
Na vile vile kuna makabila mengine ni noma, kama vile ukisikia wachaga ukubali kuuwa waumezao kwa pesa, wahaya kujiuza, kabila fulani wakatili chinja chinja, nk, hapo mzazi utahofia kumpoteza mwana wako.