Kwa hiyo hizo kilo 150 wanazodai zimekamatwa S.A hapo JNIA hamkuziona?????!!! Are you kidding me??!!!
hujamsoma, kasema wanawajibika kuripoti ikiwa wataona mzigo kama huo. Sasa hapa swali ni je hawakuziona zile 150k??!! Soma vizuri hapa
hayo mengineyo kama madawa,pembe za ndovu,utoroshaji wa fedha etc ni ya ziada na hushughulikiwa endapo watayaona na kama hawatayaona basi hawapaswi kuhukumiwa.
hicho ndicho alichoandika huyo bwana. Kwa hiyo swali langu liko pale pale hizo 150k hawakuziona???!!!
je kuna uhakika kuwa hayo madawa yalipita hapo airport..????? Au kwa vile mhusika anatoka tanzania. Je kama dili lilianzia nchi zingine yeye masogange ni mtekelezaji wa hayo madawa huko s.a
vyovyote uelezeavyo hapo airport lazima mlaumiwe maana hao askari maalum si wapo hapo tena na mbwa? Au hao mbwa wanakuwa washalewa madawa ya kulevya washindwe kunusa mizigo??
Btw, hiyo hatua namba 2 kweli hamuwezi kujiuliza ni mzigo wa aina gani mwingi hivyo?? Au kuna staff alipita nao pembeni kama wa kwake kwa kucheza dili na kuepuka utaratibu wa security screening?
................................................................NASISITIZA TENA,MAJUKUMU YA MSINGI YA HAWA WAKAGUZI WA AIRPORT NDIYO HAYO NILIYOYATAJA NA HAYO MENGINEYO KAMA MADAWA,PEMBE ZA NDOVU,UTOROSHAJI WA FEDHA ETC NI YA ZIADA NA HUSHUGHULIKIWA ENDAPO WATAYAONA NA KAMA HAWATAYAONA BASI HAWAPASWI KUHUKUMIWA.MAAFISA HAWA WATAHUKUMIWA ENDAPO ITATHIBITIKA PASI NA SHAKA KUWA WALIKUWA NA TAARIFA KUHUSU CONTRABAND HIZO AU WALIZIONA WAKAZIACHA AU WALISAIDIA KUZIPITISHA KWA MAKUSUD
........................................................................................................
mbona ukumalizia kunukuu?nilisema endapo itabainika pasi na shaka kuwa maafisa hao wanatiwa hatiani endapo ikithibitika pasi na shaka kuwa;
1.walikuwa na taarifa kuhusu contraband
2.waliziona na kuziacha kwa makusudi
3.walisaidia kuzipitisha.
Sehemu gani ambayo hukuelewa au ni kimbelembele tu cha kubwabwaja?