Ukweli kuhusu Teknolojia ya picha ya CCM Vs UKAWA

Ukweli kuhusu Teknolojia ya picha ya CCM Vs UKAWA

geomos

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
625
Reaction score
175
Ukiangalia vizuri Hizi picha Za kampeni, kuna zingine ukizitazama, jicho linahisi kama linaanguka shimoni vile, Hivi ni kwa nini?
 

Attachments

  • 1444807354614.jpg
    1444807354614.jpg
    62.1 KB · Views: 1,683
  • 1444807376012.jpg
    1444807376012.jpg
    60.1 KB · Views: 1,453
  • 1444807399032.jpg
    1444807399032.jpg
    29.1 KB · Views: 1,411
  • 1444807520525.jpg
    1444807520525.jpg
    40.9 KB · Views: 1,422
Mkubwa Wangu Ukiangalia Kwa Makini na Ualisia Kati Ya Picha Za UKAWA Vs Ccm Utagundua Picha Za Chama Cha Mapinduzi Ni Zaki Magumashi, Ukiona Simba Kashikwa Nyeti Zake Ujue Kaishiwa Pumzi Anaelekea Kukata Roho.
 
Manyumbu wa ukawa mnamatatizo sana, hizo picha mzitengeneze wenyewe na kuja kuleta fitna za kipuuzi. Tunasema tumewashtukia na kura ni kwa Magufuli.
 
Zote ni picha halisi Isipokuwa zinajulikana camera nyingi(drone camera) so wakati wa kuzirusha zinaonekana hivyo.
 
Nadhani malengo ya kutengeneza picha ili bao la mkono likifanyika zinatumika kama reference kuwa tulikuwa tunajaza watu.
 
Back
Top Bottom