Ukweli kuhusu pinda.

Jul 8, 2014
74
7
kama kawaida huwanajitokeza mara chache kule jukwaa la elimu lakini leo nikohapa.Waziri mkuu ameonekana kanakwamba hafai, hii nikwawatu wachache wasiofuatilia utendajikazi wa pinda. Hebu tujiulize ni bajeti ngapi tangu waziri mkuu awemadarakani zimesomwa nakusimamiwa? kitukingine nikua ripoti ya akaunti escrow yeye alipewa taarifa na watendaji wake kuwa pesa ile si ya umma, sasa alipo ulizwa mlitaka atoe majibu gani. Ndio maana watu wenyebusarazao wameona hana makosa wamemtetea, na Zitto pia amehusika katika utetezi. sasa wasakanyoka mnabaki kulaumu. ukweli nikwamba pinda ni zaidi ya kiongozi ndiomaana hatanyerere alimkubali na akawa mtendajikazi wake katika office yake. pinda juuuuuu!
 
Back
Top Bottom