Ukweli kuhusu maisha

Ukweli kuhusu maisha

Joined
Jul 27, 2019
Posts
20
Reaction score
15
Maisha hayana miujiza Bali ni jitihada.

Tusipokuwa kuwa na jitihada katika maisha yetu na kusubiria miujiza, Basi tutabaki kuzungumzia tuu mafanikio ya watu wengine.
Tupambane huku tukimtanguliza Mungu nasi tutafanikiwa.
IMG-20190731-WA0016_1.jpeg
 
Weka picha hii stori ikolee.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
My brother success in life comes from miracle(s) believe or not.
Utajiona unabidii kufanya jambo ila mafanikio ni miujiza tu. Jiulize unachoshindwa wewe mwenzio anafanikiwa, mifano ipo mingi.
Wapo waliosoma hawana kazi na kinyume chake. Wapo walioingia kwenye kilimo au biashara hizo hizo ambazo wengine wanafanya mwisho wameshindwa au kufanikiwa. Unapaswa utambue ni bahati yenye muujiza ndani yake.
Usidanganyike mtafute kwanza Mungu utaona maisha yako yakiwa poa sana.
 
Nakubaliana na wewe. Miujiza katika maisha ipo, ila mm nilimaanisha wanaosubiria miujiza Bila kufanya kazi au kujishughulisha.
 
Kufanikiwa ndugu zangu ni zaid ya BIDII/KUJITUMA..amini usiamin..unafanya biashara, unafanya juhud zote, kaul nzur, bidhaa nzur lkn still watu wanakimbilia duka jiran.

HUU NDO UHALISIA WA MAISHA
 
Inapendeza...

Kwa hiyo hapo ndiyo upo kwenye hizo jitihada...

Hapo una begi mgongoni bado kushuka slang za kinyamwezi...

Cc: mahondaw
 
Maisha hayana miujiza Bali ni jitihada.

Tusipokuwa kuwa na jitihada katika maisha yetu na kusubiria miujiza, Basi tutabaki kuzungumzia tuu mafanikio ya watu wengine.
Tupambane huku tukimtanguliza Mungu nasi tutafanikiwa.View attachment 1168944
Karibu jamvini Chris Mauki. Naona umemaliza digirii yako ya education chuo cha kikuu cha Iringa. Hongera sana.
 
Back
Top Bottom