Master of Cards
Member
- Dec 29, 2024
- 24
- 25
KanuniTokea lini Simba ikaenda kufanya mazoezi yao ya mwisho katika uwanja wa Mkapa katika mechi dhidi ya Yanga?
Kukimbia mechi akimbie simba! Halafu lawama anapelekewa Yanga!Tunachotakiwa kujua na kukubali bila kuwa na shaka, ni kwamba mchezo kati ya Simba na Yanga ni moja kati ya Dabi kubwa Afrika.
Hivyo, kufanya jambo lolote kinyume na taratibu kuelekea mchezo ni hatari sana kwa usalama.
Hivyo, ni vema tukubali kuwa vurugu walizoanzisha Yanga kwa kushirikiana na meneja wa uwanja za kuwazuia Simba kufanya mazoezi zingekuwa na madhara makubwa endapo mechi isingeahirishwa.
Bodi ya ligi, Yanga na Simba wakae chini wapange tarehe mpya ya mchezo.
Kanuni nduguKukimbia mechi akimbie simba! Halafu lawama anapelekewa Yanga!
Yaani simba ilipewa muda usiopungua wiki nzima ya kufanya mazoezi, kujiandaa na mchezo! Then kwa kukosa kufanya mazoezi siku ya mwisho ndiyo iwe sababu ya kukimbia mechi! Acheni kuchezea watu akili nyinyi.
hiyo inaondoka haki yao kikanuni? Yaani wewe kutokutumia haki yako ya kutoa maoni leo inakunyima haki ya kuitumia kesho? Unachomaanisha CCM wakuulize toka lini umeanza kutoa maoni ya kupinga serikali?Tokea lini Simba ikaenda kufanya mazoezi yao ya mwisho katika uwanja wa Mkapa katika mechi dhidi ya Yanga?
Mnatafuta justification, mngekuja uwanjani pira lingechezwa na hakuna vurugu ingetokea... Hizo ni hisia zako tuTunachotakiwa kujua na kukubali bila kuwa na shaka, ni kwamba mchezo kati ya Simba na Yanga ni moja kati ya Dabi kubwa Afrika.
Hivyo, kufanya jambo lolote kinyume na taratibu kuelekea mchezo ni hatari sana kwa usalama.
Hivyo, ni vema tukubali kuwa vurugu walizoanzisha Yanga kwa kushirikiana na meneja wa uwanja za kuwazuia Simba kufanya mazoezi zingekuwa na madhara makubwa endapo mechi isingeahirishwa.
Bodi ya ligi, Yanga na Simba wakae chini wapange tarehe mpya ya mchezo.
Wachezaji wa Simba walitishwa sana na mabaunsa wa Yanga😄😄😄Mnatafuta justification, mngekuja uwanjani pira lingechezwa na hakuna vurugu ingetokea... Hizo ni hisia zako tu
Kimsingi tukio lililofanywa na Yanga tayari lilitengeneza hatari ya kiusalama kuelekea mchezo hasa ukizingatia ile ni derbyMnatafuta justification, mngekuja uwanjani pira lingechezwa na hakuna vurugu ingetokea... Hizo ni hisia zako tu
Ndio maana tumeona ni mazingira aliyotengeneza Simba kukimbia mechi, vipi hao mabaunsa wanaosemekana ni wa Yanga wameshachukuliwa hatua maana tuliambiwa video za ushahidi upohiyo inaondoka haki yao kikanuni? Yaani wewe kutokutumia haki yako ya kutoa maoni leo inakunyima haki ya kuitumia kesho? Unachomaanisha CCM wakuulize toka lini umeanza kutoa maoni ya kupinga serikali?
Ushahidi upi uliokufanya uthibitishe na kuhitimisha kuwa ni Yanga wamehusika?Kimsingi tukio lililofanywa na Yanga tayari lilitengeneza hatari ya kiusalama kuelekea mchezo hasa ukizingatia ile ni derby
Tokea lini Simba ikaenda kufanya mazoezi yao ya mwisho katika uwanja wa Mkapa katika mechi dhidi ya Yanga?
Yani yanashangaza haya...so kama haifanyagi kuna sheria imesema usipofanya siku ukiamua kufanya mzuiwe....unajua najaribu kufikiria akili zao napata shida kidogo...ona huyu,eti tokea lini,sheria za mpira unazijuawewe?
Yani yanashangaza haya...so kama haifanyagi kuna sheria imesema usipofanya siku ukiamua kufanya mzuiwe....unajua najaribu kufikiria akili zao napata shida kidogo...
Kumbuka pia kuwa kwa Timu mwenyeji kuzuia timu pinzani kufanya mazoezi ni hatari kubwa kwa usalama wa mchezoKuahirisha mchezo huo mkubwa bila kuzingatia Kanuni na miongozo ya Ligi ni kosa kubwa zaidi. Zingatia hilo
Kumbuka pia hatari hiyo haiwezi kuwa kigezo cha kuahirisha mchezo kwa mujibu wa KANUNIKumbuka pia kuwa kwa Timu mwenyeji kuzuia timu pinzani kufanya mazoezi ni hatari kubwa kwa usalama wa mchezo