Hii miaka 6120 umeipata kwa hesabu zipi???Ukimtizama Dragon kwa makini kabisa kisha umtathimini halafu umng'oe mabawa na miguu kwenye ufahamu wako utapata taswira ya kiumbe flani.
Umegundua nini?
Dragon ni Joka. Isipokuwa joka huyu ana mabawa na miguu na anatema moto.
Tangu mwanadamu wa kwanza kuumbwa hadi sasa ni takribani miaka 6120. Lakini Dragon waliishi kipindi cha nyuma zaidi kabla ya wanadamu na alitoweka kabla ya wanadamu kuletwa duniani. Sasa ndo ujiuluze binadamu kamjuaje Dragon na hajamkuta.
Nyoka aliyemdanganya Hawa pale bustani ya Edeni alikuwa na miguu miwili hadi minne lakini akalaaniwa atatambaa kwa tumbo.
Hebu mvalishe mabawa huyo nyoka halafu ateme moto. Je ndo amekuwa Dragon. Jibu ni Hapana.
Ukristo ulipoingia uliwakataza watu kuamini uwepo huo kwani unamwakilisha shetani.
Kuna siri nzito ninayoifahamu kuhusu Dragons lakini kwa leo sitawaambia kuepusha kutokuelewana. Ila tambua kwamba Dragon walikuwepo.
View attachment:
Sent using Jamii Forums mobile app
Binadamu wa kwanza aliumbwa mwaka wa 4100 miaka ikashuka chini ikafika zero ikaanza upya kwa kupanda juu
Endelea kunifuatilia kwa karibu, huenda kuna siku nitatoboa siri hiyo.Ni vyema ukaeleza ufahamu wako juu ya viumbe hawa mkuu tupo hapa kupata elimu hata ukieleza siku nyingine bado mkanganyiko utakuepo tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmh mkuu kwani umeanza kuishi zamani sana nini? Wakati hao viumbe wapo??!Kuna siri nzito ninayoifahamu kuhusu Dragons lakini kwa leo sitawaambia kuepusha kutokuelewana. Ila tambua kwamba Dragon walikuwepo.
Sawa mkuu, ngoja tuongeze viewsUkimtizama Dragon kwa makini kabisa kisha umtathimini halafu umng'oe mabawa na miguu kwenye ufahamu wako utapata taswira ya kiumbe flani.
Umegundua nini?
Dragon ni Joka. Isipokuwa joka huyu ana mabawa na miguu na anatema moto.
Tangu mwanadamu wa kwanza kuumbwa hadi sasa ni takribani miaka 6120. Lakini Dragon waliishi kipindi cha nyuma zaidi kabla ya wanadamu na alitoweka kabla ya wanadamu kuletwa duniani. Sasa ndo ujiuluze binadamu kamjuaje Dragon na hajamkuta.
Nyoka aliyemdanganya Hawa pale bustani ya Edeni alikuwa na miguu miwili hadi minne lakini akalaaniwa atatambaa kwa tumbo.
Hebu mvalishe mabawa huyo nyoka halafu ateme moto. Je ndo amekuwa Dragon. Jibu ni Hapana.
Ukristo ulipoingia uliwakataza watu kuamini uwepo huo kwani unamwakilisha shetani.
Kuna siri nzito ninayoifahamu kuhusu Dragons lakini kwa leo sitawaambia kuepusha kutokuelewana. Ila tambua kwamba Dragon walikuwepo.
View attachment:
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejitahidi sana kuifafanua.Ukimtizama Dragon kwa makini kabisa kisha umtathimini halafu umng'oe mabawa na miguu kwenye ufahamu wako utapata taswira ya kiumbe flani.
Umegundua nini?
Dragon ni Joka. Isipokuwa joka huyu ana mabawa na miguu na anatema moto.
Tangu mwanadamu wa kwanza kuumbwa hadi sasa ni takribani miaka 6120. Lakini Dragon waliishi kipindi cha nyuma zaidi kabla ya wanadamu na alitoweka kabla ya wanadamu kuletwa duniani. Sasa ndo ujiuluze binadamu kamjuaje Dragon na hajamkuta.
Nyoka aliyemdanganya Hawa pale bustani ya Edeni alikuwa na miguu miwili hadi minne lakini akalaaniwa atatambaa kwa tumbo.
Hebu mvalishe mabawa huyo nyoka halafu ateme moto. Je ndo amekuwa Dragon. Jibu ni Hapana.
Ukristo ulipoingia uliwakataza watu kuamini uwepo huo kwani unamwakilisha shetani.
Kuna siri nzito ninayoifahamu kuhusu Dragons lakini kwa leo sitawaambia kuepusha kutokuelewana. Ila tambua kwamba Dragon walikuwepo.
View attachment:
Sent using Jamii Forums mobile app
Umejitahidi sana kuifafanua.
Kwa uelewa wangu mdogo na data nilizonazo wapo!
Hatuwezi kuwaona kirahisi, ukitaka kuelewa kwa haraka angalia ndugu zetu wa bara la Asia. Huyo kiumbe anatokea sana kwenye chapisho zao, ukiiva nao vya kutosha watakugusia habari za dragon.
Mwisho na kubwa isije ikafika pahala wakasogea uso wa dunia tena yani ana kwa ana bin-adam. Itakua mwisho wa kizazi chetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesema Dragon ukiwatoa mabawa na miguu ni wanafanania na joka(na kiasili ni nyoka).
Je,ni nyoka wa aina gani?
Sent using Jamii Forums mobile app