Ukweli kuhusu Dr. Slaa

Haujui alhamia chadema kpindi gani ndiyo mana unakuja na post zako zisizolandana na mambo yalivyo
 

kwa mujibu wa katiba hawezi kuwa mgombea mwenza...na hata ingeruhusu kwa msimamao na hali halisi ilivyo kwa Dr. anayejitambua kama Slaa sidhanani kama angeweza kukubali jambo kama hilo
 
Kwa tuliyoyasikia nadhan tusubiri muda utatuambia maana ukweli haujawah kushindwa.
 
Kwa tuliyoyasikia ya watu kuhongwa mabilioni ili kumkaribisha Lowasa nadhan tusubiri muda utatuambia maana ukweli haujawah kushindwa.
 
Mtasema saaana lakini ukweli ni dhahiri kwa autafutae na mkae mkijua kwamba lila na fila hazitangamani.
 
mbowe kama kweli alichukua, amgawie na mwenzie slaa walau vibilion 5 kula peke yake sio fresh...hahaha. lakini kama hajachukua, basi ajisafishe. vilevile kama amechukua kweli, amwite zitto wakubaliane waungane naye pia kwasababu hatakuwa na tofauti na zitto anayetuhumiwa pia kuchukua toka ccm. hivi vyama hivi wakati mwingine vinanichanganya sana aisee, hasa vinapoongozwa kihuni. mzee mtei anaharibu sana hicho chama kinapoonekana kama cha familia kwani mbowe ni mkwewe. wanatakiwa wakifanye hicho chama cha kitaifa na si cha familia au ukanda.
 
Kati ya EL na DR ni yupi mwenye ushawishi mkubwa kulinda,kuheshimu,kujitoa kulinda Chama.....?? Yupi kati ya EL na DR anaweza kushawishi wanachama kupiga kula na wakapiga....CHADEMA KWISHAAAAAA KABISA....!!mchaga na pesa.....hawafai,MBOWE KAUZA CHAMA....DUUUUH.....!!
 
Ni kwamba kinachosumbu ni ubnafsi tu Dr ni mbinafsi, kilichomtoa kwenye upadri ilikuwa nini?. mbona amuhulizi? kimantiki Dr si mtiifu kwa aliejuu yake, mwenyekiti anamaamuzi, katibu ni mtekelezaji, kinachompa shida ni yeye kukosa nafasi ya kuwakirisha chama kama mgombea Uraisi Lowasa anauwezo mkubwa kwa kupeperusha bendera vyema, josefina anatuletea shida tu, ukizingatia mme wakwanza wa ndoa walishindana anaonekana kuwa msumbufu sana kwa wanaume aende Italy tu kanisa katoliki aliwezi kumdhamini ni muasi kwa kanisa katoliki sakramenti alionayo ni ya upadri awezi kufunga ndoa kanisani tunamusabu kama mzinzi tu
 


Mkuu umeleta analysis nzuri na maswali yenye kujijubu yenyewe ila umeharibu mwisho neno "demu wako" halikufaa kuhitimisha maswali na hoja zako za msingi kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu umeleta analysis nzuri na maswali yenye kujijubu yenyewe ila umeharibu mwisho neno "demu wako" halikufaa kuhitimisha maswali na hoja zako za msingi kabisa.
Hata mimi nimeshangaa sana. Actually analysis nzima imeparaganyika na Associate Professor amejichanganya sana. Huyu Mzee (Dr. Slaa) alikuwa mstari wa mbele kumshambulia Lowassa na sasa nafsi yake inamsuta na anaogopa kuonekana kama mnafiki; na kwa hili mi nitaendelea kumheshimu daima.

Halafu profesa mzima mbona anamwingiza "demu" wake katika sakata hili? "Demu wake anahusikaje hapa? Halafu anashindwa hata kuona ukweli ulio wazi kuhusu tofauti ya kimuktadha na kimtazamo wakati Slaa anahamia CHDM. Anafikiri Lowassa asingekuwa anaandamwa na kashfa za ufisadi huko alikotoka angekuwa polarizing na controversial figure namna hii? He is comparing oranges and apples mkuu. Kama kweli anataka kufanya analysis yenye hadhi ya u-Associate Professor inabidi ajivue kwanza ushabiki wa Lowassa ndo ataweza kuona vizuri peo zote mbili bila mauzauza wala kunguku!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…