Ukweli kuhusu dawa ya meno

Team uswazi tumeshaelewa,big up mdau mtoa post hiyo ujumbe murua kabisa
 
Baadae uje utuambie mswaki ni usable kwa mda gani maana.
 
ikiwa mpya inatumika haraka mno,wiki mbili ishakaribia kwisha,lkn ikibakia chache inaweza kukaa hata miezi miwili kwa jinsi unavyojibana kuitumia..

tunasemana sasa humu, manake hata sasa hivi ipo chini ya 10% na cjui itaisha lini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…