Ajira zake mkuu zilikuwa wazi kabisa mahospitalini, ila jamaa wa binadamu wakaweka kauzibe! Nilisikia kulikuwa na mkakati wa kuwaongezea kozi chache kutoka kwenye mitaala ya watalaam wa maabara za binadamu ili mweze kutimiza vigezo vya kufanya kazi hospitalini. Ila kiukweli jamaa walikuwa wanakula shavu ile mbaya, maana vitu mnvyopewa hapo vet siyo kidogo, mlikuwa juu sana kuliko hata wale waliosoma vyuo vya binadamu!! Sasa sijajua kama hili liliwezekana! Nenda tu ukaigonge hiyo imekaa poa sana, ila ujiandae kwa msuli wa uhakika, vinginevyo cell biology itakutoa roho chini ya Dr. Luziga!!Vp ajira zake Mkuu?
mbona hiyo ni bachelor course... vp kwenye selection zilizotoka juzi jina lako halipo?
Ajira zake mkuu zilikuwa wazi kabisa mahospitalini, ila jamaa wa binadamu wakaweka kauzibe! Nilisikia kulikuwa na mkakati wa kuwaongezea kozi chache kutoka kwenye mitaala ya watalaam wa maabara za binadamu ili mweze kutimiza vigezo vya kufanya kazi hospitalini. Ila kiukweli jamaa walikuwa wanakula shavu ile mbaya, maana vitu mnvyopewa hapo vet siyo kidogo, mlikuwa juu sana kuliko hata wale waliosoma vyuo vya binadamu!! Sasa sijajua kama hili liliwezekana! Nenda tu ukaigonge hiyo imekaa poa sana, ila ujiandae kwa msuli wa uhakika, vinginevyo cell biology itakutoa roho chini ya Dr. Luziga!!
ahsante kwa kuwaamasisha vijana wakasome.... na si vinginevyo... pamoja sana mkuu
Inategemea campus ipi. Kama ni main ni karbu unaenda kwa bus au hata kwa miguu ila mazmbu campus ni mbali kiaina but still kote nauli ni 400 tu ukitokea mjin.
Nimepiga bvm hapo sua kazeni first year kuna kitu kinaitwa anatomy lazma mlie
uwezekano upo.. kijanA.. cha msingi baada ya kufanya registratioN .. itabidii uandike barua kwenda kwa dvc ili aweze ku confirm uhamaji wako.. na hii ita depend unaeza pata au kukosa vilevile. ukifanikiwa karibu bvm.. tuwe jumuiya moja
sijui una matatizo gani we mtoto.....Siku ile umeanikwa hapa nikajua ndo utaacha ujinga...kumbe ni zero brain
Kwa wale walio chaguliwa SUA hongereni sana but ndugu zanguni mnaokuja DEPARTMENT OF AGRICULTURAL ENGINEERING(DAELP) Karibuni sana ni bonge la course lakini mtakaribishwa na michoro mpaka mtatubu kuna mtu anaitwa Eng.Terengia Materu atawafanya m feel mpo chuoni bhn ombeeni mungu msifundishwe na expert wa michoro Dr.Mganilwa Z.M Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
Mbona unatutisha hivi hyo agric Eng n ngumu sana
kijana sua hakuna mchezo one mistake magori mia!!hakuna bata!!ukigraduate sua kwel unakua umedeserve!!
..asante broo...ningependa kujua pia watu wa animal science wanashare baadhi ya basic courses na watu wa bvm?..mfano labda biochem,anatomy...etc..pia samahan naomba niende mbali kidogo mtu akiwa na bach.ya animal science anaweza kusoma masters ya vertenary medicine?...(samahan kwa hli swal la pili and ni kwa sababu napenda sana V.M)
na ili ubalishe course ni lazima uwe umeshafanya registration?
kijana sua hakuna mchezo one mistake magori mia!!hakuna bata!!ukigraduate sua kwel unakua umedeserve!!
hapana mkuu hapo tution fee 1,263,000 unalipiwa yote na HSLB but utatakiwa kulipa tu michango mingine kama; caution money,medical fee etc.ambayo kwa SUA haizidi Tsh.180,000.